Gozbert Majaliwa(@BayonaGozbert) 's Twitter Profileg
Gozbert Majaliwa

@BayonaGozbert

loyal & committed

ID:1101507798851043329

calendar_today01-03-2019 15:41:39

5,9K Tweets

492 Followers

434 Following

Joh cabinet(@Joh_cabinet) 's Twitter Profile Photo

Shipped Coffee table sitting room kwako kuna ubunifu wowote umefanya au ndo bora liende
Hii cofee table unaipata kwa Tsh 680,000
Ni custom made order

Hio L shape sofa unaipata kwa Tsh 1,200,000

Karibuni sana☎️0710444391

Tufollow Joh cabinet kuona sample.
πŸ“ keko furniture

Shipped Coffee table sitting room kwako kuna ubunifu wowote umefanya au ndo bora liende Hii cofee table unaipata kwa Tsh 680,000 Ni custom made order Hio L shape sofa unaipata kwa Tsh 1,200,000 Karibuni sana☎️0710444391 Tufollow @Joh_cabinet kuona sample. πŸ“ keko furniture
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nipo na mama yangu, Mhe RC wetu Ma Hajat Fatma Mwasa, safari kuelekea Msibani Zanzibar… imewakilishwa na sote kwa pamoja tumuombee Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi Apumzike kwa Amani, Amen πŸ˜‡ πŸ•ŠοΈπŸ™

Nipo na mama yangu, Mhe RC wetu Ma Hajat Fatma Mwasa, safari kuelekea Msibani Zanzibar… #Kagera imewakilishwa na sote kwa pamoja tumuombee Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi Apumzike kwa Amani, Amen πŸ˜‡#RIPMzeeMwinyi πŸ•ŠοΈπŸ™
account_circle
Gozbert Majaliwa(@BayonaGozbert) 's Twitter Profile Photo

Nimesoma comments nyingi hapa, wengi naona wanasema hawawezi oa mwanamke anatewazidi pesa kwa sababu wanakua na kibiri, lakini niseme tu pesa inaleta kiburi na jeuri kwa mtu yeyote haijalishi ni mwanamke au mwanaume.

account_circle
Joh cabinet(@Joh_cabinet) 's Twitter Profile Photo

Unachagua kipi black matty qu white 2k clear
Vyote 1.1M
5Γ—6
With 2 bed side each porting charger,2 lamp light
Ni kwa Joh cabinet unapata hizi oda za uhakika

Call:0710444391

Tunapatikana keko furniture πŸ›£
Oda ni siku 5-7
Karibuni sana ulale usingizi wa mtoto mchanga😁

Unachagua kipi black matty qu white 2k clear Vyote 1.1M 5Γ—6 With 2 bed side each porting charger,2 lamp light Ni kwa @Joh_cabinet unapata hizi oda za uhakika Call:0710444391 Tunapatikana keko furniture πŸ›£ Oda ni siku 5-7 Karibuni sana ulale usingizi wa mtoto mchanga😁
account_circle
𝐒𝐚𝐦_𝐬𝐒𝐭𝐭𝐲 πŸ’šπŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@iam_sitty) 's Twitter Profile Photo

Idris Dear Idris, Naitwa Mwasiti, Ninauza Magauni ambayo inakua taratibu kulingana na eneo nililopo hivyo kushindwa kufikia lengo kwa sababu ya kutokuwa na mtaji wa kutosha. Natamani kupata eneo lingine lenye ushindani ili kuboresha biashara iweze kujiendesha yenyewe.

Ahsante...!😊

@IdrisSultan Dear Idris, Naitwa Mwasiti, Ninauza Magauni ambayo inakua taratibu kulingana na eneo nililopo hivyo kushindwa kufikia lengo kwa sababu ya kutokuwa na mtaji wa kutosha. Natamani kupata eneo lingine lenye ushindani ili kuboresha biashara iweze kujiendesha yenyewe. Ahsante...!😊
account_circle
#TOTTechs πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@TOTTechs) 's Twitter Profile Photo

ChatGPT ni tool nzuri sana, ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia kupata kazi/dream job yako.

Tatizo ni kwamba wengi hawajui kuuliza maswali/prompt.

Leo nitakuelekeza namna ya kuuliza ili ikupe majibu yanayoweza kukupa kazi.

Kazi yako ni ku-copy na ku-paste tu.

Fungua uzi πŸ‘‡

ChatGPT ni tool nzuri sana, ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia kupata kazi/dream job yako. Tatizo ni kwamba wengi hawajui kuuliza maswali/prompt. Leo nitakuelekeza namna ya kuuliza ili ikupe majibu yanayoweza kukupa kazi. Kazi yako ni ku-copy na ku-paste tu. Fungua uzi πŸ‘‡
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Sangara siyo samaki wenye asili ya Ziwa Victoria.. waliingizwa ziwa Victoria Mwaka 1953.. maswali ni mengi TUJADILI ,asili ya sangara ni wapi. ?

account_circle