Baraka Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’(@BarakaMaviatu) 's Twitter Profileg
Baraka Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’

@BarakaMaviatu

#Entrepreneur SPECIAL & SECOND HAND/MTUMBA shoes dealer πŸ‘ŸπŸ‘žπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’ https://t.co/D0rNCR53HS |Ndugu wa CHAPO, CHAFOSA na MKWAWA
WILLY BRIGHT & JOHNIEBEST

ID:973307729581367297

linkhttps://instagram.com/barakamaviatu?utm_source=qr&igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg== calendar_today12-03-2018 21:20:20

375,1K Tweets

144,0K Followers

661 Following

ILHAM πŸ–€(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Dodoma mpo tayari?????

Habari njema ni kwamba Wizara ya Habari na Mawasiliano (Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari) chini ya Waziri Nape Moses Nnauye ina kuletea burudani ya CHEKA TU (BUNGE COMEDY GALA) kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma!!

Kesho tarehe 16 saa 1 jioni paleeeπŸ”₯

Unakosaje saasa??🀌

Dodoma mpo tayari????? Habari njema ni kwamba Wizara ya Habari na Mawasiliano (@wizarahmth) chini ya Waziri @Nnauye_Nape ina kuletea burudani ya CHEKA TU (BUNGE COMEDY GALA) kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma!! Kesho tarehe 16 saa 1 jioni paleeeπŸ”₯ Unakosaje saasa??🀌
account_circle
Baraka Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’(@BarakaMaviatu) 's Twitter Profile Photo

Kwa experience yangu naona wanaojiita makungwi wengi ni wale watu wamevurugwa.

Kama tuu viongozi dini/siasa mdomoni anasema hiki kwa ground anafanya kinyume chake.

Umkute kungwi kanyooka ni nadra. We angalia hata wanaoitwa makungwi kwa utani tuu.

account_circle
ILHAM πŸ–€(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Thomas atachukua maamuzi gani baada ya kugundua Mimba Ya maria ni yake?

Je Frank kashtukia kinacho endelea kati ya Tony na Maria?

Yote haya na mengine mazuri ni ndani ya tamthilia ya JUA KALI na kama bado hujalipia kingamuzi chako basi bonyeza *150.53# chap

account_circle
🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 πŽβ„’(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

...Huku Soft Finance Vibunda Vipo vya Kutoshaa

Challenge kidogo

Hebu follow page ya Soft Finance halafu njoo na screenshot kwa comment upate hela ya Lunch

Usisahau Soft Finance Ndio wana Mikopo ya Riba Nafuu Kabsa

Utajipatia Mkopo Ndani ya Dakika 45 tu Ndio…

...Huku @softfinancetz Vibunda Vipo vya Kutoshaa Challenge kidogo Hebu follow page ya @softfinancetz halafu njoo na screenshot kwa comment upate hela ya Lunch Usisahau @softfinancetz Ndio wana Mikopo ya Riba Nafuu Kabsa Utajipatia Mkopo Ndani ya Dakika 45 tu #MpangoPesa Ndio…
account_circle
HappieπŸ’•(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Tamthilia ya Jiya, unaipata kupitia king’amuzi chako pendwa cha DStv chaneli namba 160 kuanzia saa 1:30 Usiku.

Bofya *150*53# kulipia sasa ili usipitwe na story hii ya kusisimua.

account_circle
SantaPrint(@SantaPrint_tz) 's Twitter Profile Photo

Huduma zote za printing tunazifanya hapa hapa UBUNGO MAWASILIANO.

TSHIRTS, KOFIA, REFLECTORS, MABANGO, VIPEPERUSHI, STICKERS, MIFUKO, BUSINESS CARDS,nk

Piga 0769 955 326 24/7

account_circle
DR.Andrew D.M🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ.(@a_madembwe) 's Twitter Profile Photo

Habari ya Asubuhi ni matumaini yangu umeamka salama, Mwenyezi Mungu akabariki utafutaji wakoπŸ™

Je,!? unapitia changamoto kama meno kutoboka ,mapengo, meno kuwa na mpangilio usio sahihi..Nk

Unaweza pata uvumbuzi wake kwa kuweka appointment yako Sasa
0658950085

πŸ“Magomeni

Habari ya Asubuhi ni matumaini yangu umeamka salama, Mwenyezi Mungu akabariki utafutaji wakoπŸ™ Je,!? unapitia changamoto kama meno kutoboka ,mapengo, meno kuwa na mpangilio usio sahihi..Nk Unaweza pata uvumbuzi wake kwa kuweka appointment yako Sasa 0658950085 πŸ“Magomeni
account_circle
Silva Online Store(@_SoSLLC) 's Twitter Profile Photo

Pressure cooker na Rice cooker vyote vimetengenezwa kupika ubwabwa. Japo zinaweza fanana mwonekano ila kila moja inavitu vyake tofauti.

Kila moja inamfumo wake unaofanya zitofautiane mda utaotumika kupika chakula. Kipi ununue kati ya pressure cooker au rice cooker?

Endelea πŸ‘‡

Pressure cooker na Rice cooker vyote vimetengenezwa kupika ubwabwa. Japo zinaweza fanana mwonekano ila kila moja inavitu vyake tofauti. Kila moja inamfumo wake unaofanya zitofautiane mda utaotumika kupika chakula. Kipi ununue kati ya pressure cooker au rice cooker? Endelea πŸ‘‡
account_circle
Mlula_Graphics(@MlulaMartin) 's Twitter Profile Photo

We're Open βœ…..

FREMU ZA KISASA ZA KIOO

Tunatengeneza fremu nzuri za kisasa za kioo size tofauti kulingana na ukubwa unaohitaji kutengeneza..

Tutumie picha yako au wallpaper, maandishi unayohitaji kutengeneza βœ… karibu sana

Hii ni A1. 95,000 tu

0715985028 ☎️
Whatsapp and…

We're Open βœ….. FREMU ZA KISASA ZA KIOO Tunatengeneza fremu nzuri za kisasa za kioo size tofauti kulingana na ukubwa unaohitaji kutengeneza.. Tutumie picha yako au wallpaper, maandishi unayohitaji kutengeneza βœ… karibu sana Hii ni A1. 95,000 tu 0715985028 ☎️ Whatsapp and…
account_circle
Laizer mobile store(@laizerphones) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi za pixel πŸ”₯
Google pixel 6a ( 6 gb ram , 128 gb ROM) 5G
πŸ’΅πŸ’΅ 580000 Tsh
Clean stock βœ…
Tsp & call πŸ€™ 0653 - 135872
Location kariakoo uhuru na msimbazi
Derivary dar & mikoani
Free accessories βœ…
Laizer mobile store
.

Asubuhi za pixel πŸ”₯ Google pixel 6a ( 6 gb ram , 128 gb ROM) 5G πŸ’΅πŸ’΅ 580000 Tsh Clean stock βœ… Tsp & call πŸ€™ 0653 - 135872 Location kariakoo uhuru na msimbazi Derivary dar & mikoani Free accessories βœ… @laizerphones #madebyGoogle #Googlepixeluk #Googlepixe6a.
account_circle
Laizer mobile store(@laizerphones) 's Twitter Profile Photo

Wezidei πŸ”₯. Perfect combo
Pixel 3a (64 gb ) 280000
Pixel. 4. (64 gb )350000
Pixel 4a. (128gb)350000

call &Tsp 0653- 135872

accessories free βœ…
Delivery ipo βœ…

Laizer mobile store

account_circle
Darworthtanzania(@Darworth_TZ) 's Twitter Profile Photo

Good house, good life, good furniture.
Imara Furniture is the home of modern and abundant furniture.
We do it all, home, office, school and customised furnitures.
Imara Furniture, as reliable as the name.



Contact Us
πŸ“ž +255 787 777 493

Good house, good life, good furniture. Imara Furniture is the home of modern and abundant furniture. We do it all, home, office, school and customised furnitures. Imara Furniture, as reliable as the name. #darworthtanzania #imarafurniture Contact Us πŸ“ž +255 787 777 493
account_circle
π‘ͺ𝒂𝒍𝒍 π’Žπ’† π‘«π’Šπ’‹π’‚π’‰πŸ₯°(@DijahBusiness) 's Twitter Profile Photo

Plz RT πŸ”₯
Mtoto wako wa kike hawezi kuwa mrembo kama humvalishi vizuri..πŸ™Œ
Umri:1-8yrs
Bei:15,000/=
Cont:wa.me/255757273525
Loc:Kinondoni Mkwajuni

Tunatuma popote ulipo..
Karibu sana Mzazi/Mlezi πŸ™

Plz RT πŸ”₯ Mtoto wako wa kike hawezi kuwa mrembo kama humvalishi vizuri..πŸ™Œ Umri:1-8yrs Bei:15,000/= Cont:wa.me/255757273525 Loc:Kinondoni Mkwajuni Tunatuma popote ulipo.. Karibu sana Mzazi/Mlezi πŸ™
account_circle
Baraka Maviatu πŸ‘žπŸ‘ŸπŸ₯ΎπŸ›οΈπŸ›’(@BarakaMaviatu) 's Twitter Profile Photo

Watu wa comedy mbinu yao ya kushirikiana na kila mtu kwenye maudhui wanatisha sanaa.

Wao kwa wao, na watangazaji na waigizaji + Ma-Mc. Ni collabo za kufa mtu.

Bongo fleva + Hip Hop + Taarabu+Mchiriku+Mnanda Singeli inabidi wakaze hivi.

account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Sheria ya ndoa 1971 inatoa mwanya kwa kwani inaruhusu msichana chini ya miaka 18 kuolewa.Hii inakinzana na Sheria ya Mtoto inayomtafsiri mtoto kuwa ni β€œmtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka 18”

Maboresho ya yanahitajika ili kumkomboa mtoto wa kike.

Sheria ya ndoa 1971 inatoa mwanya kwa #NdoaZaUtotoni kwani inaruhusu msichana chini ya miaka 18 kuolewa.Hii inakinzana na Sheria ya Mtoto inayomtafsiri mtoto kuwa ni β€œmtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka 18” Maboresho ya #SheriaYaNdoa yanahitajika ili kumkomboa mtoto wa kike.
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Makuzi ya mtoto yanahitaji ukomavu wa wazazi na kubeba majukumu, changamoto ya inampa majukumu binti mdogo anayeathirika kisaikolojia

Makuzi ya mtoto yanahitaji ukomavu wa wazazi na kubeba majukumu, changamoto ya #NdoaZaUtotoni inampa majukumu binti mdogo anayeathirika kisaikolojia
account_circle
βˆ†bby MΓͺxΓ¦hnk Msangi(@Abbymexahnk) 's Twitter Profile Photo

THREAD
Maswali ya Kwenye INTERVIEW ya Mitego
1. TELL US ABOUT YOURSELF (Hizi Info Zipo kwenye CV Yako sema anataka kukuskia Kutoka kwako)
Apa Ukisema tu jina lako na Umesoma wapi Ni Tatizo

Jibu: A. Your Name , B. Your Place Information ( Sio Lazima saana), C. Edu Back Ground

account_circle
Deoxz Keezy(@Deoxz) 's Twitter Profile Photo

Tangazo:

Karibu dukani kwetu ujipatie Tv showcase na cofee table yake nzuri na imara

Bei zetu ni nzuri na rafiki kwa mteja, Set kama iyo unaipata kwa 630,000

-showcase 380k
-coffee table 250k

Tupigie simu kwa namba 0656177195,πŸ‘‡

account_circle