
BajabirLogistics
@bajabirlogistic
Welcome
Bajabir Inter trade Limited (Transport Agency)
Wasafirishaji wa mzigo kwa Usalama na haraka sana.
+255(0)672808100 Call/ (WhatsApp)
ID: 954957686172471296
21-01-2018 06:03:49
2,2K Tweet
5,5K Followers
2,2K Following

Mzigo unapakiziwa wapi? Dar au Mkuranga,Kigamboni? Aje DM. BajabirLogistics ina uwezo wa kusafirisha

Tunayo furaha kumtambulisha mzungumzaji wetu wa kwanza kwenye #NIKONEKT, Bw. Michael Marwa kutoka Sema Tanzania. Michael ni mshauri wa soko la ajira mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10.



#NIKONEKT . Kama wewe ni kijana, hii sio ya kukosa. Nunua tiketi yako mapema. Check na #ElimikaWikiendi . Proudly powered by BajabirLogistics


Fani yake ni mwalimu, msomi mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kwenye kada ya ualimu. Kutoka kuuza maziwa mtandaoni hadi kuwa balozi wa kampuni kubwa nchini. Ndiye mwanzilishi wa BajabirLogistics. 𝗝𝗮𝗯𝗶𝗿 𝗝𝗮𝗯𝗶𝗿 atazungumza kwenye #NIKONEKT.


#ElimikaWikiendi BajabirLogistics Moyo wa TAIFA ™️ Mngemalizia wasifu is ake jamani pia ni Influenza na rolimodo wa vijana wengi 😅

Mwanzilishi wa BajabirLogistics, Moyo wa TAIFA ™️ naye pia atakua miongoni mwa wazungumzaji wetu kwenye warsha ya #NIKONEKT. Kama bado hujapata tiketi yako muda ndio huu, usikae mbali na fursa njoo utengeneze koneksheni. Gharama ya tiketi ni Tsh 20,000/= tu!


Mkurugenzi BajabirLogistics bwana Moyo wa TAIFA ™️ naye atazungumza kwa kina na vijana kwenye #NIKONEKT kuhusu “Personal branding” na kupata michongo. Mdau hakikisha hukosi hii. Gharama ya tiketi ni 20,000/= Tupigie 0694 490 578







BajabirLogistics KIPEPE 💊 Moyo wa TAIFA ™️ Handsome La Kijiji 😆ulishindwa Kubalance Speed Ticha pole sana🙌
