AziiL Azizy (@aziily) 's Twitter Profile
AziiL Azizy

@aziily

Mwekezaji Mzawa.

ID: 1513290564

calendar_today13-06-2013 12:49:40

53,53K Tweet

6,6K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Baba Mira (@jumamsonde) 's Twitter Profile Photo

Bi. @AnnaKulayaMkurugenzi mtendaji wa WiLDAF Tanzania akitoa historia ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga Ukatili, ambayo inaadhimishwa leo Duniani kote. #PingaUkatiliOkoaMaisha #16DaysOfActivism

Bi. @AnnaKulayaMkurugenzi mtendaji wa <a href="/WiLDAFTz/">WiLDAF Tanzania</a> akitoa historia ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga Ukatili, ambayo inaadhimishwa leo Duniani kote.

#PingaUkatiliOkoaMaisha
#16DaysOfActivism
Baba Mira (@jumamsonde) 's Twitter Profile Photo

"Mikakati yote haiwezekani bila kuishirikisha jamii lazima tushirikiane na wadau wote kuhakikisha mpango mkakati wa kutokomeza ukatili unatekelezwa kwa vitendo Nchini." Amoni Mpanju - Naibu Katibu Mkuu WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII. WiLDAF Tanzania #PingaUkatiliOkoaMaisha #16DaysOfActivism

"Mikakati  yote haiwezekani bila kuishirikisha jamii lazima tushirikiane na wadau wote kuhakikisha mpango mkakati wa kutokomeza ukatili unatekelezwa kwa vitendo Nchini." Amoni Mpanju - Naibu Katibu Mkuu <a href="/maendeleoyajami/">WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII</a>. 

<a href="/WiLDAFTz/">WiLDAF Tanzania</a>

#PingaUkatiliOkoaMaisha #16DaysOfActivism
45Minutes Store (@45minstore) 's Twitter Profile Photo

Senegal For Africans 🙌🏽 Jezi Zinapatikana Kwa 27,000 Size; S,M,L,XL,2XL Location; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor) Call/WhatsApp; 0715950110 Delivery Tunafanya

Senegal For Africans 🙌🏽

Jezi Zinapatikana Kwa 27,000 

Size; S,M,L,XL,2XL

Location; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)

Call/WhatsApp; 0715950110

Delivery Tunafanya
45Minutes Store (@45minstore) 's Twitter Profile Photo

Tafadhali RETWEET Paris 4thKit Bei; 27,000 Size; S,M,L,XL,2XL 📍; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor) ☎️ ; 0715950110 🛵; Delivery Tunafanya

Tafadhali RETWEET

Paris 4thKit

Bei; 27,000

Size; S,M,L,XL,2XL

📍; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)

☎️ ; 0715950110

🛵; Delivery Tunafanya
PIUS ISAACK (@piusisaak) 's Twitter Profile Photo

4 Days Left! Only 4 days remain to apply for the PEPFAR HIV Best Practices Awards. Showcase your innovative work in HIV prevention. Apply today! forms.gle/Kp5jj2DWbHjmyR… #THS2024 #PEPFARAwards

4 Days Left!

Only 4 days remain to apply for the PEPFAR HIV Best Practices Awards. Showcase your innovative work in HIV prevention. Apply today!

forms.gle/Kp5jj2DWbHjmyR…

#THS2024  #PEPFARAwards
ManSimba (@kanali23) 's Twitter Profile Photo

julip20 Katika Sheria za dini ya Kiislam hairusiwi kuwaoa dada wawili pamoja. Kisheria si ruksa. Nenda katika surat Nnisai kaipitie utaona UHARAMU huo. Lakini,utaruhusiwa kumuoa dada ya mkeo au ndogo ake endapo mkeo atafariki na ukapendezwa na familia yao au kwa maslahi ya watoto

Falsafa Baba! (@mwanafa) 's Twitter Profile Photo

umeme umefanya utetezi wangu kwa jinsi serikali inavoshughulikia kero za wananchi usimame..20 years na bado kuna mgao,hawa watu wana ubongo?