Eng. Aysha (@ayshamsantu) 's Twitter Profile
Eng. Aysha

@ayshamsantu

Tanzanian | Petroleum & Gas Engineer | Founder & Executive Director - Glaring Future Foundation | SDGs Champion

ID: 735914100501413889

linkhttps://glaringfuturefoundation.or.tz/ calendar_today26-05-2016 19:22:49

239 Tweet

449 Takipçi

231 Takip Edilen

Glaring Future Foundation (@gff_tanzania) 's Twitter Profile Photo

To accommodate our growing office activities, we have moved our location to House No 15, Kisasa Road opposite Msittu wa Vinywaji. #HearTheirVoices #SikiaSautiZao

To accommodate our growing office activities, we have moved our location to House No 15, Kisasa Road opposite Msittu wa Vinywaji. 
#HearTheirVoices
#SikiaSautiZao
Eng. Aysha (@ayshamsantu) 's Twitter Profile Photo

Efforts to support Tanzanian youth should focus on their inclusion and participation in decision making processes at all levels. #NationalYouthWeek #HojaZaVijanaWachambuzi

Efforts to support Tanzanian youth should focus on their inclusion and participation in decision making processes at all levels.
#NationalYouthWeek
#HojaZaVijanaWachambuzi
Eng. Aysha (@ayshamsantu) 's Twitter Profile Photo

Asilimia 97 ya vijana waliotoa maoni wanapendekeza Serikali kuandaa Bajeti au mfuko maalumu wa kuwezesha vijana kushiriki kwenye uchaguzi (Vijana wachambuzi,2023) #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi

Asilimia 97 ya vijana 
waliotoa maoni wanapendekeza Serikali kuandaa Bajeti 
au mfuko  maalumu wa kuwezesha vijana kushiriki 
kwenye uchaguzi (Vijana wachambuzi,2023) #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Eng. Aysha (@ayshamsantu) 's Twitter Profile Photo

Tunapendekeza kuwa muswada wa sheria ya uchaguzi 2023 uweke kifungu mahususi juu ya mfuko wa fedha za kusaidia uendeshaji wa kampeni za wagombea vijana kati ya umri wa miaka 18 - 35 ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika kampeni za uchaguzi. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi

Tunapendekeza kifungu cha 10C(2) katika Jedwali la tatu kiongeze mwongozo wa ushiriki wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika vyombo vya maamuzi vya chama cha siasa. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi

AfriYAN Tanzania (@afriyantanzania) 's Twitter Profile Photo

📍 Earlier this week, at the Abilities Expo hosted at Baisago University in Gaborone, Botswana, the representative of AfriYAN Tanzania @ayshamsantu had the honor of speaking on a panel.

📍 Earlier this week, at the Abilities Expo hosted at Baisago University in Gaborone, Botswana, the representative of AfriYAN Tanzania @ayshamsantu had the honor of speaking on a panel.
Eng. Aysha (@ayshamsantu) 's Twitter Profile Photo

Did you know? 1 in 10 girls in Africa misses school during their period due to lack of access to safe menstrual products. Let’s stand together to ensure periods are not a barrier to education. #PeriodsAreARight

Did you know? 1 in 10 girls in Africa misses school during their period due to lack of access to safe menstrual products. Let’s stand together to ensure periods are not a barrier to education.
#PeriodsAreARight
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Kupitia programu ya Wamama Wadogo, Glaring Future Foundation wamekuwa wakifanya uchechemuzi wa masuala ya afya ya uzazi. Jumamosi hii, tutakuwa na Mkurugenzi wao Mhandisi Eng. Aysha kwenye #ElimikaWikiendi Spaces 🎙️ akibainisha jinsi wanavyoshirikisha vijana wa kiume kwenye hedhi salama.

Kupitia programu ya Wamama Wadogo, <a href="/GFF_Tanzania/">Glaring Future Foundation</a> wamekuwa wakifanya uchechemuzi wa masuala ya afya ya uzazi.

Jumamosi hii, tutakuwa na Mkurugenzi wao Mhandisi <a href="/AyshaMsantu/">Eng. Aysha</a> kwenye #ElimikaWikiendi Spaces 🎙️ akibainisha jinsi wanavyoshirikisha vijana wa kiume kwenye hedhi salama.