Anna Elisha Mghwira (@annamghwira) 's Twitter Profile
Anna Elisha Mghwira

@annamghwira

Ukurasa maalum wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

ID: 3542817556

calendar_today04-09-2015 08:14:56

1,1K Tweet

50,50K Followers

830 Following

Anna Elisha Mghwira (@annamghwira) 's Twitter Profile Photo

Jana Mkuu wa mkoa wa Arusha na Mkoa wa Kilimanjaro Tumezindua umoja wa waongoza watalii kanda ya Kaskazini. Hafla nzuri sana kwa ukuaji wa utalii Tanzania. Hongereni sana wana umoja. Imarisheni matangazo ya utalii wa ndani na nje.

Jana Mkuu wa mkoa wa Arusha na Mkoa wa Kilimanjaro Tumezindua umoja wa waongoza watalii kanda ya Kaskazini. 

Hafla nzuri sana kwa ukuaji wa utalii Tanzania. Hongereni sana wana umoja. 

Imarisheni matangazo ya utalii wa ndani na nje.
Anna Elisha Mghwira (@annamghwira) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza kusoma theologia,ni takribani miaka 40 tangu tupate wanawake wa kwanza na miaka 30 tangu wakubaliwe kufanya kazi ya uchungaji. Nafurahi kufungua mlango huu katika tasnia hii. Mungu awabariki wanawake wachungaji, mshiriki vema malezi ya jamii

Nilikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza kusoma theologia,ni takribani miaka 40 tangu tupate wanawake wa kwanza na miaka 30 tangu wakubaliwe kufanya kazi ya uchungaji. 
Nafurahi kufungua mlango huu katika tasnia hii. 
Mungu awabariki wanawake wachungaji, mshiriki vema malezi ya jamii
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

😁😁😁😁 hamuwezi kuikwamua nchi kwa huu utapeli mnaotaka kufanya kwa vijana!.. Mnajidanganya. Matatizo ya vijana yanataka mipango na sera SIYO makongamano na vikao vya kula kula sambusa!.

😁😁😁😁 hamuwezi kuikwamua nchi kwa huu utapeli mnaotaka kufanya kwa vijana!.. Mnajidanganya. Matatizo ya vijana yanataka mipango na sera SIYO makongamano na vikao vya kula kula sambusa!.