nikipoa Sili๐Ÿ˜‡(@Ammymbiduka) 's Twitter Profileg
nikipoa Sili๐Ÿ˜‡

@Ammymbiduka

ุงู„ู„ู‡ ุฑุจูŠ

ID:1142324513771859968

calendar_today22-06-2019 06:52:42

71,3K Tweets

4,7K Followers

3,4K Following

nikipoa Sili๐Ÿ˜‡(@Ammymbiduka) 's Twitter Profile Photo

Afya Topic

Mifupa

'Nilipata (transverse patella Fracture) ilifanyiwa matibabu bila ya surgery baada ya wiki 8 nikateleza ikarudi upya '
'Nikatumia dawa za asili kwa mwezi na wiki na nkaanza kutembea na ninatembea ila nimebaki na fracture '
Je! hii huunga tenga

Ushauri wakuu

account_circle

๐‡๐š๐ฆ๐ข๐ฆ๐ฎ..!๐Ÿ‘‘(@mak_migezo) 's Twitter Profile Photo

Enyi mlio amini! Ikiwa mtawatii walio kufuru basi tambueni mtarudishwa nyuma, na hapo mtageuka kuwa ni wenye kukhasiri
Surat Al Imraan๐Ÿ“šโœŠ๐Ÿพ

Enyi mlio amini! Ikiwa mtawatii walio kufuru basi tambueni mtarudishwa nyuma, na hapo mtageuka kuwa ni wenye kukhasiri Surat Al Imraan๐Ÿ“šโœŠ๐Ÿพ
account_circle
James Munisi(@NjiwaFLow) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ’จ Kuna hii link imeanza kusambaa kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu nafasi za kazi Tume ya uchaguzi baada ya kufungua hii blog nimegundua ni fake โŒ ukimaliza kujaza taarifa zako inakulazimisha ushare.

Baba P(@BabaPforreal) 's Twitter Profile Photo

Mabinti wa siku hizi hawaamini kabisa kwenye hizi progress... Wanataka ukimtongoza leo kesho ndoa kesho kutwa mna nyumba, wiki ijayo mna biashara, mwezi ujao watoto, baada ya miezi mitatu umjengee wazazi wake kabla ya wako, muwe na apartments za kupangisha kila wilaya !!

account_circle