Ally Assed (@allyassed13070) 's Twitter Profile
Ally Assed

@allyassed13070

ID: 1796076510245236736

calendar_today30-05-2024 07:10:24

1,1K Tweet

132 Followers

296 Following

Ally Assed (@allyassed13070) 's Twitter Profile Photo

Nilikua najiuliza mbona leo kuko kimya kumbe matokeo ni haya ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Team andunje chali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Nilikua najiuliza mbona leo kuko kimya kumbe matokeo ni haya ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Team andunje chali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ally Assed (@allyassed13070) 's Twitter Profile Photo

Mambo anayoyafanya CR7 na Umri wake ni vitu viwili tofauti, hata kama Umri ni namba Vijana wa siku hizi Wana mengi ya kujifunza kutoka kwake japo hawawezi kuwa kama yeye, wataishia kumuita Role model wao..๐Ÿ˜…

Mambo anayoyafanya CR7 na Umri wake ni vitu viwili tofauti, hata kama Umri ni namba

Vijana wa siku hizi Wana mengi ya kujifunza kutoka kwake japo hawawezi kuwa kama yeye, wataishia kumuita Role model wao..๐Ÿ˜…
Ally Assed (@allyassed13070) 's Twitter Profile Photo

Mliopo mbagala njoeni ni free leo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Fungulia mbwa huko mamaeee ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Sold out ya nyoko labda Tamasha limedoda ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mliopo mbagala njoeni ni free leo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.

Fungulia mbwa huko mamaeee ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Sold out ya nyoko labda

Tamasha limedoda ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ally Assed (@allyassed13070) 's Twitter Profile Photo

Kwa jua kali la dar huwezi kunikalisha juani namna hii ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Bila shaka ni watu wa mikoani huko ndo wamejaza ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ.