ASKOFU๐Ÿฅโ›ช (@alloyceduddyley) 's Twitter Profile
ASKOFU๐Ÿฅโ›ช

@alloyceduddyley

#In Love with USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ,CANADA๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ

I believe in God๐Ÿ™,
#Hustler
#Humble Guy

I hear, My Time to shine is Comming ๐Ÿ™๐Ÿ™my tmr

ID: 1138085432783192065

calendar_today10-06-2019 14:08:06

32,32K Tweet

962 Followers

1,1K Following

Masubi (@babad_historian) 's Twitter Profile Photo

Wapendwa habari! Msaada, kwa yeyote anayemfahamu Dr Makia, alikuwa Daktari Muhimbili. Mama huyu alininusuru na kifo kwa kusimamia upasuaji wangu mwaka 2009. Nilipoteza mawasiliano naye, nafsi yangu haitulii, ninahitaji kumpata japo nimshukuru. Kwa anayemfahamu DM please๐Ÿ‘

Wapendwa habari! Msaada, kwa yeyote anayemfahamu Dr Makia, alikuwa Daktari Muhimbili. Mama huyu alininusuru na kifo kwa kusimamia upasuaji wangu mwaka 2009. Nilipoteza mawasiliano naye, nafsi yangu haitulii, ninahitaji kumpata japo nimshukuru. Kwa anayemfahamu DM please๐Ÿ‘
Tajiri Kichwa (@tkichwa) 's Twitter Profile Photo

Leo nimemkumbuka huyu binti Betty Ndenjembi Betsy______ huyu binti aliwahi tweet "Pinda hawezi kuwa Rais" baadae akakutwa amebakwa na kulatiwa kisha kutupwa mtaroni, mtandao wa twitter ulitumika sana kumzalilisha kabla hajapatwa na umauti ilikua 2014

Leo nimemkumbuka huyu binti Betty Ndenjembi <a href="/BettyNdejembi/">Betsy______</a>  huyu binti aliwahi tweet "Pinda hawezi kuwa Rais" baadae akakutwa amebakwa na kulatiwa kisha kutupwa mtaroni, mtandao wa twitter ulitumika sana kumzalilisha kabla hajapatwa na umauti ilikua 2014
Shakur Faith (@shaks_prince) 's Twitter Profile Photo

UPDATE: Nimetoka Kibaruani nikapata wasaa wa kumtembelea na kupiga story mbili tatu na yule maza wa jana Anaishi alone na anajishuhulisha na kukopesha vitu Ila wateja wengine wanamtukana na wengine wanampiga kabisa akienda kudai marejesho Hajaniomba pesa (japokuwa nimempatia๐Ÿ‘‡

UPDATE: Nimetoka Kibaruani nikapata wasaa wa kumtembelea na kupiga story mbili tatu na yule maza wa jana

Anaishi alone na anajishuhulisha na kukopesha vitu

Ila wateja wengine wanamtukana na wengine wanampiga kabisa akienda kudai marejesho

Hajaniomba pesa (japokuwa nimempatia๐Ÿ‘‡
Prime Minister of Israel (@israelipm) 's Twitter Profile Photo

Prime Minister Netanyahu: To the brave people of Iran, I wish you, as I do every year a happy holiday season, beginning with the Festival of Lights. It signifies the age old belief of the Iranian people that light will triumph over darkness, that good will triumph over evil.

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume mmoja amekutwa amefariki Dunia baada mwili wake kukutwa umefukiwa pembeni ya nyumba inayosemekana ni nyumba yao huku ikisemekana aliefanya tukio hilo ni Mke wake na kwa sasa hajulikani alipo kimbilia. Tukio hilo la kufukiwa kwa Mwanaume huyo anayetajwa kwa majina ya

Mwanaume mmoja amekutwa amefariki Dunia baada mwili wake kukutwa umefukiwa pembeni ya nyumba inayosemekana ni nyumba yao huku ikisemekana aliefanya tukio hilo ni Mke wake na kwa sasa hajulikani alipo kimbilia.

Tukio hilo la kufukiwa kwa Mwanaume huyo anayetajwa kwa majina ya
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

It has been a year ๐Ÿ’” A year of silence, a year of prayers, a year of holding onto hope even on the hardest days. Not a single moment has passed where you were forgotten. You are not forgotten. Not for a single day. Not for a single moment. My heart is still waiting for you,

It has been a year ๐Ÿ’”

A year of silence, a year of prayers, a year of holding onto hope even on the hardest days. Not a single moment has passed where you were forgotten.

You are not forgotten. Not for a single day. Not for a single moment. My heart  is  still waiting for you,
ASKOFU๐Ÿฅโ›ช (@alloyceduddyley) 's Twitter Profile Photo

Haya Maisha YA hii Dunia Kuna muda YAnatafakarisha Sana, Dunia Ina mafundisho mengi Sana Ni vile Sisi binadami tunajisaulisha Na hatuyazingatii, Ebu fikiria babu Wa Baba/mama yako ambavyo amesaurika, Na wewe IPO siku utasahaurika kama kama Hao wazee, Acha kujpa umuhimu Sana๐Ÿ˜Š