JOTA jr (@alistidesallen) 's Twitter Profile
JOTA jr

@alistidesallen

Humble

ID: 1503730242040610819

calendar_today15-03-2022 13:50:35

9,9K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Kuna Washkaji wengi tu kwa ground wanapotezwa na hawana Watu wa kuwapazia sauti. Dogo anaitwa Ogunya Marwa alitekwa mwezi wa nne alikuwa anatema nondo sana pale TikTok pia alikuwa mwana Chuo wa MUST Mbeya.๐Ÿ˜ฅ

Elon Musk (@elonmusk) 's Twitter Profile Photo

The EU should be abolished and sovereignty returned to individual countries, so that governments can better represent their people

JOTA jr (@alistidesallen) 's Twitter Profile Photo

Neema, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo. Ukweli na Upendo.

JOTA jr (@alistidesallen) 's Twitter Profile Photo

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Utukufu wa Siku za Usoni kwa Mabaki wa Sayuni. Isaya 4:1

JOTA jr (@alistidesallen) 's Twitter Profile Photo

Nyie wekeni kote mabango Ila hapa Usagara, stendi kuu mpaka nyegezi kona kwenda mpaka mkuyuni huko niachieni Mimi hili suala tarehe la tarehe 14 nataka mwanza isimame aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

JOTA jr (@alistidesallen) 's Twitter Profile Photo

Hesabu 9:11 mwezi wa pili, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, wataishika; watamla pamoja na mikate isiyotiwa chachu na mboga za uchungu; Sasa hizi mambo za brutal na savanna mnatoa wapi