Afya Facts(@AfyaFactz) 's Twitter Profileg
Afya Facts

@AfyaFactz

Ukurasa namba #1 kwa afya yako - Chanzo cha kuaminika cha Elimu | Habari | Vidokezo na Kweli zote za afya kupitia lugha yetu pendwa ya kiswahili | 🔔Fuatilia!

ID:1215602433885450240

linkhttp://www.instagram.com/afyafactz/ calendar_today10-01-2020 11:53:15

13,2K Tweets

16,9K Followers

522 Following

Afya Facts(@AfyaFactz) 's Twitter Profile Photo

Limau ni tunda chachu lenye rangi ya chungwa angavu ambalo lina takribani miligramu 50 za vitamini C ambayo ni zaidi ya nusu ya kiasi kinachohitajika kwa siku na mwili. Vitamini hii husaidia kuzilinda seli zako na uharibifu, kuimarisha kinga & kufyonza chuma kutoka kwenye vyakula

account_circle
Afya Facts(@AfyaFactz) 's Twitter Profile Photo

MAJI: Kunywa maji ya kutosha kila siku husaidia mwili wako kuwa katika halijoto ya kawaida, hulainisha viungo vyako, hulinda uti wako wa mgongo na tishu zingine muhimu mwilini, na huondoa takataka hatari kupitia jasho, mkojo na haja kubwa. Usisahau, Maji ni Uhai!

🍅NYANYA: Huleta hali ya ualikali ambayo husaidia kuondoa taka mwilini hususani taka zenye asili ya uasidi kupitia mkojo kwa hivyo husaidia utendaji kazi wa figo zako na kutoa msaada mkubwa kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya mifupa (gout) kwasababu ya wingi wa uriki asidi

Mnyonyeshe mtoto wako mara nyingi zaidi bila kumuongezea maji/chakula angalau mara 8 kwa masaa 24
👶
Kadri unavyomnyonyesha usiku na mchana ndivyo maziwa yako yanavyozalishwa
👶
Afikapo miezi 4 na anahisi njaa kila umnyonyeshapo na haongezeki ndipo unaweza mwongezea vyakula laini

Mnyonyeshe mtoto wako mara nyingi zaidi bila kumuongezea maji/chakula angalau mara 8 kwa masaa 24 👶 Kadri unavyomnyonyesha usiku na mchana ndivyo maziwa yako yanavyozalishwa 👶 Afikapo miezi 4 na anahisi njaa kila umnyonyeshapo na haongezeki ndipo unaweza mwongezea vyakula laini
account_circle
Afya Facts(@AfyaFactz) 's Twitter Profile Photo

Mazoezi ya mara kwa mara husaidia mwili wako kujikinga na maradhi mbalimbali kwa kuhakikisha kinga ya mwili inayopambana na vijidudu wanaosababisha magonjwa inafika mahali husika inapohitajika kwa kuwezesha mzunguko mzuri wa damu mwilini mwako ambayo ndiyo inayobeba kinga yako.

BROKOLI
🥦
Ni mboga ya majani nzuri na muhimu sana kwa wale wote wenye uzito uliopindukia na tatizo la kisukari.
🥦
Kwasababu huwa ina kiwango kidogo cha sukari na huleta hali ya kushiba kwa hivyo humzuia mtu kula kupindukia.

BROKOLI 🥦 Ni mboga ya majani nzuri na muhimu sana kwa wale wote wenye uzito uliopindukia na tatizo la kisukari. 🥦 Kwasababu huwa ina kiwango kidogo cha sukari na huleta hali ya kushiba kwa hivyo humzuia mtu kula kupindukia.
account_circle
Afya Facts(@AfyaFactz) 's Twitter Profile Photo

KARANGA: Zimesheni asidi za mafuta ambazo ni chanzo muhimu cha nguvu kwa seli za moyo wako.
🥜
Kwa hivyo huwa msaada mzuri kwa wale wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo.
🥜
Pia husaidia kushusha viwango vya lehemu na hivyo kuboresha mzunguko wa damu mwilini mwako.

KARANGA: Zimesheni asidi za mafuta ambazo ni chanzo muhimu cha nguvu kwa seli za moyo wako. 🥜 Kwa hivyo huwa msaada mzuri kwa wale wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo. 🥜 Pia husaidia kushusha viwango vya lehemu na hivyo kuboresha mzunguko wa damu mwilini mwako.
account_circle