Afrihouzz (@afrihouzz) 's Twitter Profile
Afrihouzz

@afrihouzz

Architect,
Building materials,
Ujenzi nafuu,
Ujenzi wa kisasa,
😎😎⌚🇹🇿

ID: 1056657238968930305

calendar_today28-10-2018 21:21:32

207 Tweet

947 Takipçi

2,2K Takip Edilen

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Ile bashasha, furaha na msisimko unaoupata ukitoka kukamilisha lengo au jambo fulani halafu likakuendea vizuri kwa mafanikio, ni hali ambayo kila mtu anaipenda katika maisha. Inaleta utu na thamani katika maisha ya kila mtu. Kama tamu kwako, epuka kuwanyima wenzako. Gawana nao!

Afrihouzz (@afrihouzz) 's Twitter Profile Photo

Resort proposal ya mteja wetu. Tunafanya architectural/structural design ya nyumba yako au project yoyote kwa gharama nafuu. Tunajenga na kufanya interior design za kisasa. Tucheki kwa 0684151934...kindly retweet

Resort proposal ya mteja wetu. Tunafanya architectural/structural design ya nyumba yako au project yoyote kwa gharama nafuu. Tunajenga na kufanya interior design za kisasa. Tucheki kwa 0684151934...kindly retweet
Afrihouzz (@afrihouzz) 's Twitter Profile Photo

Ramani ya vyumba vinne vya kulala (kimoja master), sebule mbili, dinning, jiko, store, public toilet na prayer/study room. Inakaa kwenye plot ya 20mx20m na kuendelea. #tanzaniarevolution #tanzania #dodoma #daressalaam #RETWEEET Tucheki +255684151934 kwa ujenzi wa kisasa.

Ramani ya vyumba vinne vya kulala (kimoja master), sebule mbili,  dinning, jiko, store, public toilet na prayer/study room. Inakaa kwenye plot ya 20mx20m na kuendelea.
 #tanzaniarevolution #tanzania #dodoma #daressalaam  #RETWEEET
Tucheki +255684151934 kwa ujenzi wa kisasa.
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Lolote ambalo unapaswa kulifanya na ukakwepa kulifanya, kaa ukijua kuna mwenzako atalifanya. Tatizo ni kuwa anaweza asilifanye vile ambavyo wewe ungetamani lifanyike. Usipotimiza wajibu wako, usilaumu wengine watakapoziba ombwe la wajibu wako kwa namna itakavyowapendeza wao.

Automata Network (@automatanetwork) 's Twitter Profile Photo

To celebrate our Mainnet: 🚀 $50,000 $ATA Airdrop 🚀 ✨ Follow Automata Network & CoinMarketCap ✨ Join xata.to/telegram & xata.to/announcement ✨ Like, retweet & tag 3 friends with the hashtag #AutomataMainnet Join the full #Airdrop at CMC ↓ coinmarketcap.com/currencies/aut…

To celebrate our Mainnet: 🚀 $50,000 $ATA Airdrop 🚀

✨ Follow <a href="/AutomataNetwork/">Automata Network</a> &amp; <a href="/CoinMarketCap/">CoinMarketCap</a>
✨ Join xata.to/telegram &amp; xata.to/announcement
✨ Like, retweet &amp; tag 3 friends with the hashtag #AutomataMainnet

Join the full #Airdrop at CMC ↓
coinmarketcap.com/currencies/aut…