Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile
Adventure-360

@adventure_36

Lawyer, Human Rights Activists,
@simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter ๐ŸšŒ

ID: 1230927069284048898

linkhttps://linktr.ee/Adventure_360 calendar_today21-02-2020 18:48:12

541,541K Tweet

161,161K Followers

843 Following

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Siku ya tarehe 02.09. 2024 majira ya saa 12 jion lilitokea tukio maeneo Halaa Babati mkoani Manyara dereva wa basi la kampuni ya Mtei Express akipigwa na dereva wa lori aliyefahamika kwa jina Gasper Roman ni mchaga huyu na Utingo wake ambaye ni Mnyarwanda chanzo cha ugomvi ni

Baada ya dereva wa basi kujaribu kulipita lori hilo na kupelekea kutaka kusababisha ajali na baadae basi lilisimama na lori likaja kusimama na dereva wa lori akamshambulia dereva wa basi na kitu kizito kichwani na kusababisha kupelekea kifo cha dereva wa basi.

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara anasema dereva wa lori alienda na kufungua mlango na kuanza kumshambulia huku abiria waliokuwa kwenye basi kushindwa kutoa msaada, baadae kesi ikafika polisi uku dereva wa basi akiwa ameshapoteza maisha.

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara linawashikilia dereva wa lori pamoja na utingo wake kwa kosa la mauaji. Yan abiria mpo kwenye basi dereva wenu anashambuliwa nyinyi mnashindwa kutoa msaada? ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ hata kugombelezea tu?

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Anyway kesi iko polisi na watuhumiwa wameshakamatwa tunaomba Sheria ifwate mkondo wake. Ni kweli madereva wa mabasi huwa wako rafu sana lakini kitendo alichofanyiwa huyu dereva wa basi ni unyama haiwezekani aisee

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Barabarani kuna mambo mengi watu wakiwa wanajichukulia hatua hizi itakuwaje? Dereva wa basi alikuwa na miaka 25 tu. Anyway poleni sana jamani na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya.

I'm_pattoo (@pattoo80) 's Twitter Profile Photo

Adventure-360 Alikuwa anakimbilia wapi mpaka kutaka kusababisha ajali ? Tuanzie hapo tuweke unazi pembeni hili bus kwani lilibeba mawe? Tukemee pia driving za hawa madereva wa mabus tunapenda shabikia lakini yakitokea matatizo tunatia huruma. May his soul rest in peace #sheriaichukuemkondo

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara anasema lori lilikuwa linaendwa na mtanzania tena mchaga na utingo wake ndo mnyarwanda na wote wamekamatwa

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Uko sahihi lakin alichofanyiwa dereva wa basi kupigwa ni sawa? Yeye si angemlipot polisi tu shida iko wapi? Ajali zinatokea kila siku kaka

๐——๐—ถ๐—ฐ๐—ธ๐˜€๐—ผ๐—ป ๐—Ÿ๐—ฎ๐˜„๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—Ÿ๐—ฒ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ๐Ÿฆ (@sir_almando) 's Twitter Profile Photo

Kaka kuna raia huwa hawapendi kuingilia/kuamulia ugomvi labda ndio maana waliwaacha Kwani hapa mjini hujawai kuona ugomvi wa madereva daladala japokuwa ugomvi wao unaendaga na ngumi mwisho wa siku yanaisha kwa maneno? Anyways aliyehusika na mauaji acha aende gerezani akaishi