king adady wa pili (@adadibadru) 's Twitter Profile
king adady wa pili

@adadibadru

work hard

ID: 1377118466285559808

calendar_today31-03-2021 04:40:31

19,19K Tweet

4,4K Takipรงi

3,3K Takip Edilen

Jeany (@jeju_julius) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na Mwanaume Au Mwanamke anaekujali kwa kila Halii Hata wakati matatizo yoyote Yale utakuwa umepata mtu sahihi sana katika maisha yako ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ“Œ

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume hupata furaha wakati anajijenga kiuchumi, mahusiano yake na Mungu, kiafya na kifamilia. Ukiamka na furaha yako ipo chini bila sababu, angalia maeneo hayo manne. Kati ya hayo kuna eneo halipo sawa. Rekebisha eneo hilo.

MAN IN 30's (@businessintz) 's Twitter Profile Photo

Yale mambo yote yanayoendelea katika ulimwengu usioonekana kwa macho (kiroho) ndio yanayoamua uhalisia wako huku nje uweje โœ๐Ÿฟ .

Steph (@ihebojr) 's Twitter Profile Photo

maisha yanaweza kukupa sababu nzuri zakuwa mtu mbaya... lakini bado unaweza kukataa kuwa hivyo kwa jina la Muumba wako

DOCHA ๎จ€ (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

Kujifanya Unanijua Sana Mpaka Kwenye Daladala Za Gaza Unaniita Mtoto Wa Mwenyekiti Wa Serikali Za Mtaa Nikipigwa Je Na Wananchi Wa Gaza...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Man Like Suleโ„ข (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Kama Mwanaume siku zote kwenye mahusiano jitahidi kutumia kanuni zako kama unataka kuwa huru.. Ukimpa nguvu mwanamke wako kwenye mahusiano, atafanya maisha yako yawe magumu sana. Jitahidi kulielewa hili.

Man Like Suleโ„ข (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Jamani Tusipende Hii Tabia Ya Kukaa Dirishani Kwenye Daladala Leo Nimepigwa Kofi Na Mpiga Debe Kisa Hajapewa Hela Na Konda Baada Ya kuita Abiria na kanivizia Wakati gari inondoka...!๐Ÿ˜ข

Man Like Suleโ„ข (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Sipendi kukagua simu ya Mwanamke, sipendi kumfatilia sana Mwanamke, napenda aishi kwa akili yake , afanye vitu kwa utashi wake, na siku akishindwa basi ashindwe kwa hekima zake.. Ni mahusiano kwangu sio utawala.. ni mapenzi sio biashara.. NI NGUMU KUMCHUNGA BINAADAMU.

Man Like Suleโ„ข (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Mke anakaroga usichepuke, kimada anakupiga juju umsahau mkeo, Ndugu wanakupiga misumari usimjengee mkeo, mkeo kaenda kwa mganga ili usijenge kwenu, Mwanaume Kaenda kwa sangoma apate dawa ya utajiri, Mwanamke kaenda kanisani apate bwana aliyefanikiwa Betting- Double chance๐Ÿ˜€

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kuoa mwanamke sahihi ni sehemu muhimu zaidi katika kujenga utajiri. Kuoa mwanamke sahihi siyo tu kuhusu mapenzi. Kunaendana na future yako, tabia na purpose yako. Mwanamke sahihi huongeza nguvu zako, hutuliza akili yako, na hukusaidia kujenga badala ya kuharibu Be mindful