sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile
sports worldwide

@ajsportsworld

UKURASA WA MICHEZO NA BURUDANI PEKEE worldwide 360 #Newsports

ID: 1584414649373659137

calendar_today24-10-2022 05:21:19

63 Tweet

268 Followers

361 Following

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

"Hii leo mpinzani wetu (Young Africans SC) ana bahati kubwa sana hii sare anatakiwa aifanyie sherehe kubwa sana, alistahiri kipigo kikubwa", - Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba Sports Club, Ahmed Ally #NBCPL #SimbaSC #YangaSC #EastAfricaTV

sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile Photo

Imani Inakuja kwa mashabiki wa #Simbasportsclub kwa Juma Mgunda √phisically √match plan Anasimama navyo sambamba hivi kichwani kwake SUPER MGUNDA

Imani Inakuja kwa mashabiki wa #Simbasportsclub kwa Juma Mgunda

√phisically
√match plan

Anasimama navyo sambamba hivi kichwani kwake SUPER MGUNDA
sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile Photo

Novatus Dismas Kijana mwenye kipaji ambaye haongeleki sana katika midomo ya wa Tanzania wengi hapa nchini lakini ni shujaa kule Belgium anafanya kazi yake iliyotukuka kikamilifu. KILAKA DISMAS #SportsWorldwide

Novatus Dismas

Kijana mwenye kipaji ambaye haongeleki sana katika midomo ya wa Tanzania wengi hapa nchini lakini ni shujaa kule Belgium anafanya kazi yake iliyotukuka kikamilifu.

KILAKA DISMAS

#SportsWorldwide
sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile Photo

NEWCASTLE Ni moja ya timu ya kuchungwa sana mwaka huu naimani ikiendelea kufanya haya inayoyafanya kipindiki hiki kuna watu 65% watapoteza nafasi zao #SportsWorldwide

NEWCASTLE

Ni moja ya timu ya kuchungwa sana mwaka huu naimani ikiendelea kufanya haya inayoyafanya kipindiki hiki kuna watu 65% watapoteza nafasi zao

#SportsWorldwide
sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile Photo

JURGEN KLOPP Ni kocha mzuri mno anauwezo wakipekee sana katika kuitengeneza timu na kuimarisha ubora wa mchezaji matokeo wanayopitia sasa hivi Liverpool ni kutokana na majeruhi ya wachezaji wake ila bado naimani nae sana atafanya vizuri zaidi duru ya pili premier league SAVES

JURGEN KLOPP

Ni kocha mzuri mno anauwezo wakipekee sana katika kuitengeneza timu na kuimarisha ubora wa mchezaji matokeo wanayopitia sasa hivi Liverpool ni kutokana na majeruhi ya wachezaji wake ila bado naimani nae sana atafanya vizuri zaidi duru ya pili premier league

SAVES
sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile Photo

NUNEZ vs GABRIEL JESUS NUNEZ åMinutes 572--Goals 5 GABRIEL JESUS åMinutes1000--Goals 5 Who's a best negotiation #SportsWorldwide

NUNEZ vs GABRIEL JESUS

NUNEZ
åMinutes 572--Goals 5

GABRIEL JESUS
åMinutes1000--Goals 5

Who's a best negotiation

#SportsWorldwide
sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile Photo

NASERDIN BIN NABI Usiamini unachosikia maana kelele nyingi ndizo zimpotezeazo Umbwa Kamwe amini unachokiona maana uhalisia haubadiliki milele... Is not confirmed bado yupoyupo sana Young Africans SC best coach kafanya vingi na bado hakuna yeyote aliyethubutu kufanya #sportsworld

NASERDIN BIN NABI

Usiamini unachosikia maana kelele nyingi ndizo zimpotezeazo Umbwa

Kamwe amini unachokiona maana uhalisia haubadiliki milele...

Is not confirmed bado yupoyupo sana <a href="/yangasc1935/">Young Africans SC</a> best coach kafanya vingi na bado hakuna yeyote aliyethubutu kufanya

#sportsworld
sports worldwide (@ajsportsworld) 's Twitter Profile Photo

Ili ushibe unahitaji ule na ili ule unahitaji ufanye kazi kwa bidii na ili ufanye kazi kwa bidii unahitaji uwe na afya iliyokamilika na ili uwe na afya unahitaji umakini wa kujitunza na kujilinda wewe na uwapendao. LIFE IS INFINITY ÷∆√ #SportsWorldwide