profile-img
Wasemaji wa Kisekta

@ACTBarazaKivuli

Official Account of the @actwazalendo Shadow Cabinet Research Office (SCaRO) under the office of the Party Leader @SemuDorothy and shadow PM @MchinjitaIR

calendar_today20-02-2022 21:33:34

1,9K Tweets

1,9K Followers

189 Following

Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

'Badala ya TASAF, tunaitaka Serikali iimarishe mfumo wa hifadhi ya jamii ili kutoa pensheni kwa wazee wote badala ya kutegemea fedha za mikopo ambazo zinaweza kusitishwa muda wowote.'

Waziri Kivuli wa Utumishi wa umma na Utawala Bora ACTWazalendo
Riziki S. Mngwali

'Badala ya TASAF, tunaitaka Serikali iimarishe mfumo wa hifadhi ya jamii ili kutoa pensheni kwa wazee wote badala ya kutegemea fedha za mikopo ambazo zinaweza kusitishwa muda wowote.' Waziri Kivuli wa Utumishi wa umma na Utawala Bora @ACTwazalendo @rizikishahari #10MaslahiYaWote
account_circle