23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile
23_BiNoBiZzY

@23_binobizzy

STAN of GoNnEr๐Ÿ†\HipHop\Good music๐ŸŽถ

ID: 1593333600132497410

calendar_today17-11-2022 20:16:15

2,2K Tweet

531 Followers

1,1K Following

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

*Ujuzi mwingi kwani me mkeo??? Au KAKA unatafuta kulelewa nimekwambia tayari umeng'ang'ana cheki umenimwagia mishahawa yako kwenye mapaja" TAJA REJESTA ZAKO NYINGINE ZINAZOPATIKANA KWA MADADA POA nasoma comment๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

kama mwanaume hakikisha unamfanyia vitu vitakavyomfanya akukumbuke daima...โœ๏ธโœ๏ธ SIO LAZIMA UMPE PESA๐Ÿ’ฐ,VIZAWADI๐ŸŽ HIVI VITU ANAPEWA NA WENGI TENA ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

Tarehe zinaenda nchi iko vilevile tunapokwenda hatufiki toka enzi zile amani imetoweka kiongozi shujaa anazimwa taifa linatetereka kwa vita na ushirikina rest in peace AMINA๐Ÿ’”๐Ÿ•Š๏ธ daima ntakukumbuka ulikuwa mjasiri umeondoka kitendawili #MATHEMATRIX_By_SONGA SONGA

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

"Tanzania taifa kubwa ila uchumi na watu wachache so usifate sera zao ukaja ukafa na njaa ardhi imejaa rutuba wakubwa ndo wanagawana wanagombania kuongoza kila sekta ni balaa" ๐ŸŽถMATHEMATRIX๐ŸŽถ SONGA

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

kuna mwanamke kila akifanya mapenzi na mpenzi wake anavuta hisia anafanya mapenzi na mimi ila haya mapenzi bhana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ’”

Dizasta Vina (@dizastavina) 's Twitter Profile Photo

Karibu duniani is available for streaming/downloads Youtube - youtu.be/4cyPRYOAVno Audiomack - audiomack.com/dizastavina/soโ€ฆ Mdundo - mdundo.com/song/5193524 Spotify - open.spotify.com/track/0nK0k3oVโ€ฆ

Karibu duniani is available for streaming/downloads
Youtube - youtu.be/4cyPRYOAVno
Audiomack - audiomack.com/dizastavina/soโ€ฆ
Mdundo - mdundo.com/song/5193524
Spotify - open.spotify.com/track/0nK0k3oVโ€ฆ
KAMBONA (@godmwailunga) 's Twitter Profile Photo

Kipindi hcho sijapata smartphone hawa wamekula sana jero zangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hasa kwny Tetesi za mastaa majuu Walifanya nimchukie wenger kutomsajili Higuain kumbe source ndio ilkua kamba ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Kipindi hcho sijapata smartphone hawa wamekula sana jero zangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hasa kwny Tetesi za mastaa majuu 

Walifanya nimchukie wenger kutomsajili Higuain kumbe source ndio ilkua kamba ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Zee La Nyeti ๐• (@originozee17) 's Twitter Profile Photo

Mabinti Wengi Wanasema "Ningekuwa Mwanaume Ningewavua Chupi Wanawake Wengi Sana" Ila Hawataki Mwanaume Anayelala Na Wanawake Wengi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kingine Wanafikiria Ukiwa Mwanaume Kupata Nyau ๐Ÿ‘ Ni Rahisi Sana Bila Kujua Kuna Mambo Mengi Ya Ya Kufanya Kuliko Ngono.๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ