23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile
23_BiNoBiZzY

@23_binobizzy

STAN of GoNnEr🏆\HipHop\Good music🎶

ID: 1593333600132497410

calendar_today17-11-2022 20:16:15

2,2K Tweet

531 Takipçi

1,1K Takip Edilen

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

*Ujuzi mwingi kwani me mkeo??? Au KAKA unatafuta kulelewa nimekwambia tayari umeng'ang'ana cheki umenimwagia mishahawa yako kwenye mapaja" TAJA REJESTA ZAKO NYINGINE ZINAZOPATIKANA KWA MADADA POA nasoma comment😂😂😂

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

kama mwanaume hakikisha unamfanyia vitu vitakavyomfanya akukumbuke daima...✍️✍️ SIO LAZIMA UMPE PESA💰,VIZAWADI🎁 HIVI VITU ANAPEWA NA WENGI TENA ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

Tarehe zinaenda nchi iko vilevile tunapokwenda hatufiki toka enzi zile amani imetoweka kiongozi shujaa anazimwa taifa linatetereka kwa vita na ushirikina rest in peace AMINA💔🕊️ daima ntakukumbuka ulikuwa mjasiri umeondoka kitendawili #MATHEMATRIX_By_SONGA SONGA

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

"Tanzania taifa kubwa ila uchumi na watu wachache so usifate sera zao ukaja ukafa na njaa ardhi imejaa rutuba wakubwa ndo wanagawana wanagombania kuongoza kila sekta ni balaa" 🎶MATHEMATRIX🎶 SONGA

23_BiNoBiZzY (@23_binobizzy) 's Twitter Profile Photo

kuna mwanamke kila akifanya mapenzi na mpenzi wake anavuta hisia anafanya mapenzi na mimi ila haya mapenzi bhana😂😂💔💔

Dizasta Vina (@dizastavina) 's Twitter Profile Photo

Karibu duniani is available for streaming/downloads Youtube - youtu.be/4cyPRYOAVno Audiomack - audiomack.com/dizastavina/so… Mdundo - mdundo.com/song/5193524 Spotify - open.spotify.com/track/0nK0k3oV…

Karibu duniani is available for streaming/downloads
Youtube - youtu.be/4cyPRYOAVno
Audiomack - audiomack.com/dizastavina/so…
Mdundo - mdundo.com/song/5193524
Spotify - open.spotify.com/track/0nK0k3oV…
KAMBONA (@godmwailunga) 's Twitter Profile Photo

Kipindi hcho sijapata smartphone hawa wamekula sana jero zangu 😂😂😂 hasa kwny Tetesi za mastaa majuu Walifanya nimchukie wenger kutomsajili Higuain kumbe source ndio ilkua kamba 😅😅😅

Kipindi hcho sijapata smartphone hawa wamekula sana jero zangu 😂😂😂 hasa kwny Tetesi za mastaa majuu 

Walifanya nimchukie wenger kutomsajili Higuain kumbe source ndio ilkua kamba 😅😅😅
Zee La Nyeti 𝕏 (@originozee17) 's Twitter Profile Photo

Mabinti Wengi Wanasema "Ningekuwa Mwanaume Ningewavua Chupi Wanawake Wengi Sana" Ila Hawataki Mwanaume Anayelala Na Wanawake Wengi 😂😂 Kingine Wanafikiria Ukiwa Mwanaume Kupata Nyau 🍑 Ni Rahisi Sana Bila Kujua Kuna Mambo Mengi Ya Ya Kufanya Kuliko Ngono.😂🚮