@21crula
ID: 1585630052401614853
calendar_today27-10-2022 13:51:13
578 Tweet
236 Takipçi
436 Takip Edilen
5 months ago
Utapata kuna mwanaume anatumia pillow na ako na mtungi ya gas.
Kuua daktari amekwambia umebakisha siku tatu uishi ndo upelekwe jela miaka hamsini >
Masomo ndio ngumu Mungu hawezi umba mtu mjinga
Mtu anaweza print free kick nyuma ya jezi??
Stima ikipotea unaanza mpango wa candle
Petition to stop kuweka mfupa kwa nyama ya mia
Single room niggas ndio tunatoka kwa bed, mguu ikiland inakanyaga gas, tunaisongesha kidogo inakanyaga mtungi, tukisimama tuiname tunajipata nje ya nyumba
4 months ago
Na muongezee watoto sio kupiga mtoto mmoja picture seventy😂
ile upepo ukiwa umebebwa na nduthi, dereva anaweza kwambia "Dinywa!" useme "inafaa hivo"😂
Leo pastor ame maliza sermon akaweka highlights za game ya utd na lyon kanisa mzima imetokwa na machozi🥲👽
Pls delete this
Majirani wanashangaa vile Jana nilibag Mali safi, kumbe nilichukua Take away 🥲
Fourth year alifanya supp na mafresher:
3 months ago
Single fellas itabidi mbench Gabriel Bastituta sasa
Ukiona amekuja na crop top weka hoodies zako kwa maji
Ambieni mwalimu mwenye alisema naandika kama kuku akujie mayai
Unakatia dem badala akushow hakutaki anakwambia toa sukuma Kwa meno
Ndevu zimefika fote hide your wimenz 😁
2 months ago
Mimi ni baba pia,watoto wangu waliachwa kwa condom 😂