The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profileg
The mandevu

@ze_mandevu

|| Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||

ID:883974979041329152

calendar_today09-07-2017 09:03:53

109,8K Tweets

266,5K Followers

8,4K Following

The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Labla huenda mimi ni kipofu, honestly speak from your heart Chini ya Utawala wa Mama Samia kitu gani cha maana amekifanya mpaka sasa? ๐Ÿค”

account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Hakuna ambaye anabisha juu ya uwezo mkubwa wa Navy Kenzo, ila tatizo mitaa inataka Ndizi wao wanaleta Banana. Akili kumkichwa๐Ÿ˜‚

Utaamua mwenyewe ungoje masaa mawili Mwendokasi na utumie lisaa limoja kufika au utumie masaa mawili kwenye daladala kufika, akili ku mkichwa. ๐Ÿ˜‚

Ila hii Serikali kuna muda inaleta hasira kichizi, yaani maji Week sasa hayatoki sio leo tu ni mwendelezo yote tisa shida kwenye 'kupuu' tunacho shukuru huku Kimara Mapori ni mengi. ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜‚

Huu Mradi umekosa tu usimamizi mzuri, ila ulikuwa bonge moja la Project la kujivunia, anyway jua kali Chuma zimekula utulivu.

Huu Mradi umekosa tu usimamizi mzuri, ila ulikuwa bonge moja la Project la kujivunia, anyway jua kali Chuma zimekula utulivu.
account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Hakuna ambaye anabisha juu ya uwezo mkubwa wa Navy Kenzo, ila tatizo mitaa inataka Ndizi wao wanaleta Banana. Akili kumkichwa๐Ÿ˜‚

Hakuna ambaye anabisha juu ya uwezo mkubwa wa Navy Kenzo, ila tatizo mitaa inataka Ndizi wao wanaleta Banana. Akili kumkichwa๐Ÿ˜‚
account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Naomba Repost yako ๐Ÿ™

Unaweza ukawa umeangaika na Mafuta mengi bila suluhisho, basi tunayo Mafuta bora ambayo yataenda kukutatulia changamoto ya ukosefu wa nywele (upara) .
Mawasiliano:
โ˜Ž๏ธ0623533526

Naomba Repost yako ๐Ÿ™ Unaweza ukawa umeangaika na Mafuta mengi bila suluhisho, basi tunayo Mafuta bora ambayo yataenda kukutatulia changamoto ya ukosefu wa nywele (upara) . Mawasiliano: โ˜Ž๏ธ0623533526
account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

kama una ndevu lakini hazikui na kama hauna ndevu kabisa, wote nyie nina mafuta yenu yaliyo bora na yanaenda kutatua tatizo.