The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profileg
The mandevu

@ze_mandevu

|| Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||

ID:883974979041329152

calendar_today09-07-2017 09:03:53

108,6K Tweets

263,9K Followers

8,3K Following

The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Dizaini kama Network imerejea hivi, thibitisha hapa kama Mtandao wako unaotumia mambo shwari au bado. πŸ€”

account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Ila haya Maisha kikubwa ni kutokukata tamaa na kuamini katika kile unachokifanya utakuja fanikiwa. Yaani 'bambo miako yotu atrendu amekujo kutrendo mwaku huu jamanu' πŸ˜‚

Wachekeshaji wa kizazi kipya wanakitu cha kujifunza kupitia Bambo, Bambo kilicho mrudisha mjini ni 'identity' yake ambayo aliijenga na sio kitu kingine.

Harmonize kafanya ngoma ya pamoja na Mwamba anaitwa Savara kutoka kundi la Sauti sol, Ebwanaee Bonge moja la ngoma mbaya wote Mafundi Mmakonde kanyoosha kingereza kimoja humo ndani hatari.

kionjo kipo kwenye comment.

Harmonize kafanya ngoma ya pamoja na Mwamba anaitwa Savara kutoka kundi la Sauti sol, Ebwanaee Bonge moja la ngoma mbaya wote Mafundi Mmakonde kanyoosha kingereza kimoja humo ndani hatari. kionjo kipo kwenye comment.
account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna pahala nilimsema Harmonize vibaya, naomba mnisamehe jamaa ni Fundi ila hamfikii Diamond. πŸ˜‚

account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Binafsi huwa namfwatilia sana Makonda, Jamaa hana muda wa kukaa ofisini kabisa ni yeye na watu kutatua changamoto nadhani viongozi wengine wajaribu kuiga katika yale mazuri anayoyafanya huyu Mwamba. Shout out kwake

Kuna Watu wanajua kwenda na muda aise, sasa kama na wewe ni mmojawapo kati ya Watu wanaojali muda hii ni yako Mzee tuna Vidonda (Saa) kali na bora sana toka Germany kwa bei nafuu ya Kitanzania kabisa yaani Laki na ishirini tu (120,000Tsh).
Kwa Mawasiliano zaidi:-
☎️ 0622300807

Kuna Watu wanajua kwenda na muda aise, sasa kama na wewe ni mmojawapo kati ya Watu wanaojali muda hii ni yako Mzee tuna Vidonda (Saa) kali na bora sana toka Germany kwa bei nafuu ya Kitanzania kabisa yaani Laki na ishirini tu (120,000Tsh). Kwa Mawasiliano zaidi:- ☎️ 0622300807
account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

kama una ndevu lakini hazikui na kama hauna ndevu kabisa, wote nyie nina mafuta yenu yaliyo bora na yanaenda kutatua tatizo.