Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profileg
Holy

@yose_hoza

Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication Engineer

ID:3039495909

calendar_today15-02-2015 19:26:56

389,4K Tweets

153,8K Followers

32,3K Following

TAWLA(@TawlaTZ) 's Twitter Profile Photo

Kama sehemu ya kushirikiana na wadau katika kuboresha mazingira ya kisheria katika ukanda wa Afrika Mashariki, TAWLA tukiwakilishwa na Afisa Sheria Yosia Kimweri tumepata fursa ya kushiriki katika mkutano maalumu ulioandaliwa na Kamati ya Mawasiliano, Viwanda na Biashara yaโ€ฆ

Kama sehemu ya kushirikiana na wadau katika kuboresha mazingira ya kisheria katika ukanda wa Afrika Mashariki, @TawlaTZ tukiwakilishwa na Afisa Sheria Yosia Kimweri tumepata fursa ya kushiriki katika mkutano maalumu ulioandaliwa na Kamati ya Mawasiliano, Viwanda na Biashara yaโ€ฆ
account_circle
Ev. Godhope Uiso ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ(@UisoGodhope) 's Twitter Profile Photo

ADUI WA MTU.

Adui wa kwanza wa mwanadamu ni muda,
Muda utakukunja mgongo,
Muda utakutoa mate,
Muda utakufanya ubebwe na kupelekwa usikotaka.
Muda hausubiri ila watu ndio wanausubiri muda.

Usijivunie miaka ila ujivunie ulichovuna kwenye muda uliokuwa nao.

account_circle
Joyce Shebe(@joyceshebe_) 's Twitter Profile Photo

Shukrani sana Broadcast Media Africa kwa kunialika kushiriki katika mjadala wenye tija, na afya kwa wanahabari wa nchini Tanzania, na Afrika kiujumla.

account_circle
Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Watu kama Gamondi ndo wanatakiwa.

Hawa marefa ni wa kutiwa makofi....kwa sababu ni wapuuzi sana.

TFF marefa sijui wanawaokotaga wapi kwakweli.

account_circle
Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profile Photo

Dira Ya Samia ikulu_Tanzania Kwa baadhi ya Jamii (Watu) โ€œNishati Safiโ€ bado ni Msamiati

Wekeni mipango, mikakati ya kuhakikisha kila mtu ananufaika na hili

account_circle