
WASAFIRI TANZANIA
@wasafirtanzania
ID: 4636814295
28-12-2015 22:50:22
27,27K Tweet
13,13K Takipçi
979 Takip Edilen



Mnataka Report ya D-14 la Ngesere🤣 Tanzania Bound Buses Adventure-360 Mthuthuzeli Gift Khoza Southern Highland Buses chuma na maganda yake🙌


WASAFIRI TANZANIA Sema vent ya grill show Mbele inaweza leta changamoto kwenye kupooza maji yaliyopo kwenye radiator ni sawa na hizi TATA bus kwenye grill show ya mbele


Happy Nation Express mnaharibu biashara yenu wenyewe kwa tamaa...ndan ya mwez huu mara ya 3 namba ya basi kwenye tiket na mnalo leta stend viendani... Bussines class sit mbovu zimebanana mtu mbele akiegemea magoti huna.. Dar-Mpanda Cc WASAFIRI TANZANIA Tanzania Bound Buses Southern Highland Buses

Wakati mengine yanapostiwa kila siku hata hayajafika Morogoro, hili linapiga kazi kimya kimya hadi mwisho wa nchi! Esther Luxury haina kiki — ina kazi.” 😏🔥🚌 #BasiLaKazi Ashery Shija Adventure-360 Mnazi😤 TANZANIA BUSES NATION WASAFIRI TANZANIA



WASAFIRI TANZANIA Usisahau No Reform No Election au haikuhusu tusikupangie 😳



WASAFIRI TANZANIA Kaka hii kama inatoka Urafiki saa moja Bila shaka Mbezi itatoka saa 3 usiku nimeweka na muda wa foleni la kutoka Kibo mpaka Kimara mwisho 🤣 itanifaa sana nikiwa natokea Zangu Kigamboni kwenda Zangu Mbarali Mbeya kituo chakushukia IGAWA💯



