UFM Radio
@ufmradiotz
Welcome to the leading Radio Station #AzamUFM | Part of Azam Media Ltd/Bakhresa Group | 107.3 DSM, 101.7 Dodoma, 96.5 Arusha, 98.7 Shinyanga | #SisiNiWewe
ID:1005798608480940032
https://ufmradio.co.tz 10-06-2018 13:07:29
9,2K Tweets
13,7K Followers
201 Following
Tutumie maoni yako nasi tutayasoma kupitia kipindi cha Mtaa 107 itakapofika saa 8:00 hadi 10:00 jioni ukiwa na @iam_rehemakhalifa Timothy Chelula na kwenye moja na mbili ni @dj_dwhite1
#UFMBurudani Zaidi #Mtaa107 #UFMBurudani #SisiNiWewe @azamtvburudani Azam TV

Jumamosi hii kwenye kipindi cha #MwanamichezoWetu kinachoruka hapa UFM Radio kuanzia saa 8:00 mchana hadi 9:00 alasiri tutakuwa na Mshambuliaji wa zamani wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu ambaye mwaka 2021 alivunjika miguu yake miwili kwenye ajali ya gari.
#SisiNiWewe