TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profileg
TRT Afrika Swahili

@trtafrikaSW

Afrika kama ilivyo

ID:1559834727623835648

linkhttps://www.trtafrika.com/sw calendar_today17-08-2022 09:29:24

5,4K Tweets

44,3K Followers

23 Following

TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Picha yenye maandishi ‘All eyes on Rafah’ ikimaanisha “Macho yote kwa Rafah” imekua ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram na kuibua udadisi mwingi wa chanzo na maana yake. Ina maana gani?

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Kufuatia mjadala mpana unaoendelea nchini Kenya kuhusu gharama za usafiri zilizotumika katika safari rasmi ya Rais wa nchi hiyo William Ruto nchini Marekani, hii leo Rais Ruto alilazimika kulitolea ufafanuzi suala hilo wakati wa maombi ya bunge ya kila mwaka.

Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua mapema hii leo amewachekesha Wakenya baada ya kusema kuwa kitendo cha Rais Ruto cha kumshika mkono mke wake wakati wa safari yao ya Marekani kiliwashinikiza na wao kuiga.

Maonyesho ya teknolojia ya GITEX Africa 2024 yanafanyika nchini Morocco na waoneshaji zaidi ya 1,500 kutoka nchi 130 na karibu kampuni 700 wanahudhuria.

'Vita havipaswi kuendelea bila ukomo. Haki haitakiwa kukosekana milele'

Rais wa China Xi Jinping ameitisha mkutano wa amani kuhusu mgogoro wa Israel katika Gaza iliyozingirwa, alipokuwa akihutubia viongozi na wanadiplomasia katika mkutano Beijing.

trtafrika.com/sw/africa/rais…

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Fedha Uganda imesema ina mpango wa kuchukua mikopo ya ziada, yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 4.7 katika siku zijazo ili kufadhili miradi mbalimbali ya umma.

Tegemeo hii inakuja huku Benki ya Dunia ikiwa bado haijaamua kuondoa vikwazo.

trtafrika.com/sw/africa/ugan…

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Kenya William Ruto, amependekeza kupunguzwa kwa idadi ya viti vya wabunge katika Bunge la Afrika kutoka 275 hadi 110.

Amesema hii itapunguza gharama ya uendeshaji wa bunge hilo.

trtafrika.com/sw/africa/keny…

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Ndege ya kijeshi ya Lockheed Martin iliyokuwa ikielekea kwenye kambi ya Jeshi la Anga huko California ilianguka Jumanne karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa katika jiji kubwa la New Mexico, na kusababisha moshi mkubwa na kumjeruhi vibaya rubani.

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Nyota wa mpira, Cristiano Ronaldo ametwaa kiatu cha dhahabu cha Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Saudi League 2023-24. Nahodha huyo wa Ureno na timu ya Saudia ya Al Nassr, na mshindi wa Ballon D’or mara tano alimaliza msimu na mabao 35.

Ronaldo ndiye mchezaji wa kwanza katika

Nyota wa mpira, Cristiano Ronaldo ametwaa kiatu cha dhahabu cha Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Saudi League 2023-24. Nahodha huyo wa Ureno na timu ya Saudia ya Al Nassr, na mshindi wa Ballon D’or mara tano alimaliza msimu na mabao 35. Ronaldo ndiye mchezaji wa kwanza katika
account_circle