Dr. Abdullah Hasnuu Makame
@dr_makame
Husband, Dad, Academia, Analyst: Member of East African Legislative Assembly (EALA) . MTAMO
Instagram @abdullahmakame
ID:918094854378356736
http://https.www.eac.int 11-10-2017 12:44:05
31,8K Tweet
21,3K Takipçi
284 Takip Edilen
Kuna tatizo kubwa sana na mtandao wa Vodacom Tanzania jana usiku saa nne nimenunua Data ya mwezi for 50,000, leo saa tano asubuhi nimetumiwa ujumbe imekwisha, wakati nimelala. Hili tatizo TCRA_TANZANIA walitazame. Huu ni wizi mkubwa. Sijui watumiaji wangapi wanapata hii kadhia.
#HIJAB
Mama Brigitte Macrone, Mke wa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amenukuliwa na vyanzo mbalimbali akielezea wasiwasi wake kuhusu MWANAFUNZI anayevaa Hijabu aliyetabulishwa kwa jina moja tu SALWA kwamba vazi hilo LITAWATIA HOFU NA UWOGA kwa kuwatisha wanafunzi wenzake
#MJUE_MACRON
Emmanuel Macron aliyezaliwa 21.12.1977 ni mume wa Brigitte Macrone aliyezaliwa 13.4.1953 - Baba wa Familia ya watoto 3 SEBASTIEN (1975), LAURENCE (1977) na TIPHANIE (1984). Macron ni wa pili kwa udogo wa umri katika familia yake.
PICHANI - Emmanuel na Brigitte
📍Dar es Salaam
🇹🇿🇨🇦
Waziri wa Maendeleo wa Kanada, Mhe. Ahmed Hussen amewasili nchini kwa ziara ya siku mbili. Hatua hii ni dalili nzuri ya uhusiano mathubuti uliopo baina ya nchi mbili hasa katika kuchochea maendeleo endelevu.
#tanzaniacanadarelations
📍Paris
VIDEO:
🇹🇿🇫🇷
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia Afrika, akishiriki Mkutano wa Kwanza unaohusu Nishati katika ukumbi wa Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, nchini Ufaransa leo tarehe 14 Mei, 2024.
#SonganaSamia
📹:IKULU
#Siku_ya_akina_Mama
Kila siku ni siku ya akina Mama, leo tunawadhimisha akina Mama duniani. Tunachukua fursa hii kuwatakia kila la heri, baraka, furaha na mafanikio akina Nama wote. Aidha, tunawapongeza akina Baba kwa majukumu yao ya kuwezesha Umama
Napenda kutumia fursa hii kuishukuru Bodi ya Uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali chini ya wizara ya WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII Kwa kuniteua kua Mjumbe wa kamati ya Mpito ya kuratibu Uchaguzi wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali National Council Of NGOs Tanzania .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said S. Mussa amekutana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (International Conference on the Great Lakes Region), Balozi Joao Caholo ambapo pamoja na mambo mengine viongozi hao walijadili hali ya siasa, ulinzi na
📍Bungeni, Dodoma
Waziri wa Maliasili na Utali, Mhe. Angellah Kairuki (Mb.) akijadili jambo na Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Mhe. Robert Chacha Maboto katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Mei 07, 2024.
📸: W/Maliasi
#HERI_YA_SIKU_YA_WAFANYAKAZI
Kila siku ni siku ya WAFANYAKAZI. Leo ni maadhimisho ya siku ya WAFANYAKAZI duniani. Tunatumia fursa hii kutuma salamu za heri kwa maadhimisho haya muhimu: tena hususan kwa WAFANYAKAZI wote na wana East African Community ya Afrika Mashariki
Embracing the beauty of hijab, inside and out. MaShaAllah PinkHijab Professional Wing we are proud for the flagship Jalilu Zaid Dr. Abdullah Hasnuu Makame Zahoro Muhaji Ms_Fatma Songoro