Tigo Tanzania(@Tigo_TZZ) 's Twitter Profileg
Tigo Tanzania

@Tigo_TZZ

Huu ni ukurasa maalum wa Tigo Tanzania. Furahia huduma na bidhaa za kidigitali kila kona ya Tanzania

ID:265942155

linkhttp://www.tigo.co.tz calendar_today14-03-2011 11:30:02

168,4K Tweet

404,1K Takipçi

8,1K Takip Edilen

Tigo Tanzania(@Tigo_TZZ) 's Twitter Profile Photo

ilianza na...umetoa wapi namba yangu! na sasa hivi tuko hapa. Mahusiano yetu yametoka mbali, tumekua pamoja kwenye kila hatua. Sisi hatuachani!! Tuendelee kuyajenga. 22.05.2024

ilianza na...umetoa wapi namba yangu! na sasa hivi tuko hapa. Mahusiano yetu yametoka mbali, tumekua pamoja kwenye kila hatua. Sisi hatuachani!! Tuendelee kuyajenga. 22.05.2024
account_circle
Tigo Tanzania(@Tigo_TZZ) 's Twitter Profile Photo

Unataka kuwa mshinid wa Milioni 63 kutoka kwetu Tigo? ni simple! unachotakiwa kuafanya ni jiunge kwanzakwa kutuma neno SOKA kwenda 1567 na kisha nunua point zako kwa kutuma P600 kwenda 1567...Ni hivyo tu!

Unataka kuwa mshinid wa Milioni 63 kutoka kwetu Tigo? ni simple! unachotakiwa kuafanya ni jiunge kwanzakwa kutuma neno SOKA kwenda 1567 na kisha nunua point zako kwa kutuma P600 kwenda 1567...Ni hivyo tu! #tigoliveitloveit
account_circle
Tigo Tanzania(@Tigo_TZZ) 's Twitter Profile Photo

Super App 🔥🔥. Download sasa upate 1GB ya kurudi tena utupe mrejesho jinsi ilivyo

🔵 Super App✅

App hii ina features kedekede na ofa kabambe:
📌Tuma pesa kwa namba zaidi ya moja kwa mkupuo
📌Kuwa na akaunti ya

#Tigopesa Super App 🔥🔥. Download sasa upate 1GB ya kurudi tena #socialmedia utupe mrejesho jinsi ilivyo #nzurimpakanzuritena 🔵#Tigopesa Super App✅ App hii ina features kedekede na ofa kabambe: 📌Tuma pesa kwa namba zaidi ya moja kwa mkupuo 📌Kuwa na akaunti ya #tigopesa
account_circle
Tigo Tanzania(@Tigo_TZZ) 's Twitter Profile Photo

Ladies & Gentlemen, tunafuraha kubwa kulaunch Ile app inayotikisa mtandaoni kwa siku kadhaa sasa🔥🔥 na tufuraha kubwa kujua kuwa hata nyie mmeiona kuwa NI NZURI MPAKA NZURI TENA!

🔵 Super App✅

App hii ina features kedekede na ofa kabambe:
📌Tuma pesa

account_circle
Farhan Yusuf(@faryus88) 's Twitter Profile Photo

We are quick to criticize but very slow in terms of giving praise. I'm using this post to appreciate Tigo Tanzania for their amazing attempt of keeping us online even in this challenging time of internet outage. I even logged on to work calls this morning that worked fine! Kudos!

account_circle
Faustine(@RednetCompany) 's Twitter Profile Photo

Hivi imekuaje TiGO wameweza ku-sustain internet availability kwa wateja wake kwenye hii crisis?

Mi nikajua watu wenye reliable internet provision ni wale kina nanihii..🙆

Nitajie ISP anayetoa internet kwa ubora kuliko TiGO kwa sasa.. (nasoma comment)

Hivi imekuaje TiGO wameweza ku-sustain internet availability kwa wateja wake kwenye hii crisis? Mi nikajua watu wenye reliable internet provision ni wale kina nanihii..🙆 Nitajie ISP anayetoa internet kwa ubora kuliko TiGO kwa sasa.. (nasoma comment)
account_circle