iddy nonga(@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

🚨Mashujaa wamecheza boli la maana sana kipindi cha pili,quality ndio imeamua kupoteza kwao,anyway Yanga wana tabia za kibingwa,Simba kupoteza Lake Tanganyika walistahili,Mashujaa wana timu bwanaa !!...

account_circle
Young Africans SC English(@YoungAfricansEN) 's Twitter Profile Photo

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ†
⚽️ Mashujaa FCπŸ†šYoung Africans SC
πŸ“† 05.05.2024
🏟 Lake Tanganyika
πŸ•– 16:00

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague 
⚽️ Mashujaa FCπŸ†šYoung Africans SC
πŸ“† 05.05.2024
🏟 Lake Tanganyika
πŸ•– 16:00

#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
account_circle
Young Africans SC English(@YoungAfricansEN) 's Twitter Profile Photo

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„β±οΈ| Guede gives us the lead at Lake Tanganyika! ✨

Mashujaa FC 0-1 Young Africans SC

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„β±οΈ| #NBCPremierLeague Guede gives us the lead at Lake Tanganyika! ✨

Mashujaa FC 0-1 Young Africans SC

#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
account_circle
Juma Juma(@Juma0Juma) 's Twitter Profile Photo

Mashujaa FCπŸ†šYoung Africans SC

Tunautaka UbingwaπŸ’šπŸ’š
πŸ“† 05.05.2024
🏟 Lake Tanganyika

Mashujaa FCπŸ†šYoung Africans SC

Tunautaka UbingwaπŸ’šπŸ’š
πŸ“† 05.05.2024
🏟 Lake Tanganyika
account_circle
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ(@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

Mnisamehe lakini KINANA ni MUONGO

Je Tanganyika tunauwezo wa kumiliki Ardhi Zanziber??

Je SAMIA hafukuzi watu NGORONGORO??

Je SAMIA hajauza BANDARI kwa MWARABU???

Sasa kwanini anasema LISSU ni muongo wakati yeye anasanganyaTAIFA tena mbele ya TBCπŸ˜‚πŸ˜‚

Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ†
⚽️ Mashujaa FCπŸ†šYoung Africans SC
πŸ“† 05.05.2024
🏟 Lake Tanganyika
πŸ•– 10:00 Jioni

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague 
⚽️ Mashujaa FCπŸ†šYoung Africans SC
πŸ“† 05.05.2024
🏟 Lake Tanganyika
πŸ•– 10:00 Jioni 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
account_circle
UNHCR Tanzania(@UNHCRTanzania) 's Twitter Profile Photo

The rise of Lake Tanganyika's water level from recent heavy rains has flooded our office in Kigoma.

In the camps, the πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Government, UNHCR and partners took preparedness measures in January and relocated refugees away from flood-prone zones to safer areas.

account_circle
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ(@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

Hili JABALI limewafurumua ccm mafichoni kila mahala alipopita LISSU kufanya mikutano kuanzia DODOMA ,IRINGA ,MOROGORO na MANNYARA kote ccm wanamikutano kuanzia siku ya jana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ITOSHE kusema tunaitaka TANGANYIKA

ACTWazalendo(@ACTwazalendo) 's Twitter Profile Photo

'Wakati tunaanzisha chama hichi tuliitwa ni chama cha watu wa Kigoma. Leo hii mnaona Mwenyekiti wetu wa chama ametokea Pemba, na mmemuona na dada hapa amesoma utenzi katokea Pemba. Makamu Mwenyekiti wetu wa chama upande wa Tanganyika huku ndugu Mchinjita ametokea Lindi, Makamu…

Boniface Mwabukusi(@Mwabuk2Boniface) 's Twitter Profile Photo

Tupo Singida Leo na Kamanda Ole Sosopi tunaendelea na uinjilishaji wa Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.IGA ni ujambazi wa Raslimali za Tanganyika na Ngorongoro is for Maasai . Dodoma stay tuned