Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Ebu tuwekane sawa hapa kidogo.Hivi kama Israel inanguvu za kijeshi za kupambana na Iran mbona US ndo wanajiandaa zaidi kwa mapambano na Iran kuliko Israel.Hapo ndo utajua hileee historia tulipigwa changa la macho US.

#Behindthescene 
#BilaGanzi
account_circle
Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Nchi za kiarabu zimemtaarifu US hazipo tayari kuruhusu mashambulizi ya Iran yatakayo fanywa na US kutokea kwenye ardhi au anga la nchi zao.Mmmmh huuu sio mtego kweli?

Taifa teule wakizichapa wenyew kwa wenyewe.Kwenye maandamano ya kumtoa madarakani first born wao Netanyahu🤣🤣🤣.

Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un anasema hiki nikipindi cha kujiandaa na kuwa tayari kwa vita kuliko kipindi chochote. Vip Kim yupo sahihi au anaitisha dunia tu?

Russian Force ndani ya Niger. Baada ya wanajeshi wa US na France kutimuliwa Kiongozi wa Niger ameingia kandarasi na vikosi vya Urusi.

FilmmakerLife(@FilmmakerLife_) 's Twitter Profile Photo

'𝐁𝐚𝐭𝐦𝐚𝐧 𝐯 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫𝐦𝐚𝐧: 𝐃𝐚𝐰𝐧 𝐨𝐟 𝐉𝐮𝐬𝐭𝐢𝐜𝐞' (𝟐𝟎𝟏𝟔) 𝐟𝐢𝐫𝐬𝐭 𝐩𝐫𝐞𝐦𝐢𝐞𝐫𝐞𝐝 ❤🎥

                s  

•
•
•
#FilmmakerLife #WorldClassFilmAwards #WCFA #onset #filmmakerslife #theworldclassfilmawards #filmmakerlifemagazine #filmfreeway #behindthescenes #behindthescene…
account_circle
Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Haiwezi kuwa kweli,Ukraine si wana Patriot air defence na kila kombora la Urusi wanalitungua hili gazeti ni la mchongo.

Haiwezi kuwa kweli,Ukraine si wana Patriot air defence na kila kombora la Urusi wanalitungua hili gazeti ni la mchongo.
#Behindthescene
account_circle
TF1(@TF1) 's Twitter Profile Photo

Vous aussi vous pensiez que Spider-man sautait lui-même d’immeuble en immeuble ? 😅

𝙎𝙥𝙞𝙙𝙚𝙧-𝙈𝙖𝙣 : 𝙉𝙤 𝙒𝙖𝙮 𝙃𝙤𝙢𝙚 c’est ce soir dans 🎬

account_circle