Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

na kuwa Uraiani ni matusi makubwa sana kwa jamii iliyostaarabika.

ukiwa mpinzani wewe ni mtu wa kusumbuliwa na kesi jwa mda wote

account_circle
Twaweza Kenya(@Twaweza_Ke) 's Twitter Profile Photo

Seven out of ten citizens (70%) have some understanding of the term in the Kenyan context.
However, a significant number of citizens (30%) admit that they do not really know what devolution means.

, .

Seven out of ten citizens (70%) have some understanding of the term #devolution in the Kenyan context. 
However, a significant number of citizens (30%) admit that they do not really know  what devolution means.

#SautiZaWananchi, #DemokrasiaYetu.
account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Bunge ambalo lilipitisha sheria kandamizi kuhusu wafanyakazi/Watanzania.

Then wabunge wake baadaye wakaanza kuzilalamikia hizo sheria kuwa hazifai, wabunge wake hawafai kuaminiwa tena.

ni ya kilaghai.

Bunge limekosa

Bunge ambalo lilipitisha sheria kandamizi kuhusu wafanyakazi/Watanzania.

Then wabunge wake baadaye wakaanza kuzilalamikia hizo sheria kuwa hazifai, wabunge wake hawafai kuaminiwa tena.

#DemokrasiaYetu ni ya kilaghai.

Bunge limekosa #Accountability 

#2025WAKATAENI
account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Wabunge wengi ni empty heads.

Sema mifumo ya inasababisha kuwapata watu kama Hawa.

Dunia ina matabaka ndio maana mbunge aliyeishia la 7 analipwa milioni 13 ila Dokta specialist Hana scale hata ya milioni 4

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Afrika tuna .

Siwashangai Togo.

Kuna nchi hapahapa Afrika.

Mgombea wa Urais anateua watendaji wa Tume ya Uchaguzi, uchaguzi ambao unajumuisha na wapinzani.

Uchaguzi ambao matokeo ya Urais hayapingwi popote pale duniani.

This is Africa 🌍 😀😀😀😀😀

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA wanatekeleza haki yao ya kidemokrasia.

Haya Mambo huko nyuma ilikuwa mwiko kuyaona....kutokana na kutofata katiba.

inaruhusu maandamano

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Nina mashaka na Uraia wa huyo jamaa.

Foreigners huwa wanajiattach huko then unakuta ni decision makers...as CDF said kuna wakimbizi wengine ni decision makers, waliingia kwenye siasa then wakapata nafasi za juu.

wa Chama tawala waliropoka huoni wakikemewa

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Ni kwamba UVCCCM Taifa kuanzia Mwenyekiti wa Jumuiya na Katibu wake wanakubaliana na Ile kauli, ndio maana hadi sasa wamekaa kimyaaaa....

wahuni ndo wanapewa majukwaa

account_circle