Nassorhp🇹🇿 (@nassorhp) 's Twitter Profile
Nassorhp🇹🇿

@nassorhp

🔰MBARAZA UVCCM WILAYA YA MJINI 🔰MBARAZA UVCCM WADI/KATA RAHALEO ZNZ 2022-2027 🔰MJAMAA&MZALENDO🇹🇿

ID: 4895483015

calendar_today10-02-2016 17:22:16

1,1K Tweet

210 Followers

524 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam 08.02.2025 My Welcome and Opening remarks at the Joint Southern African Development Community (SADC) and the East African Community (EAC) Heads of State and Government Summit on the prevailing security situation in the Eastern Democratic Republic of Congo (DRC).

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

I am deeply saddened to learn of the passing of the Founding President and Founding Father of the Nation of the Republic of Namibia, His Excellency Dr. Sam Nujoma. A freedom fighter, a Pan-Africanist and a dear friend of Tanzania where he once lived during the struggle for

I am deeply saddened to learn of the passing of the Founding President and Founding Father of the Nation of the Republic of Namibia, His Excellency Dr. Sam Nujoma. 

A freedom fighter, a Pan-Africanist and a dear friend of Tanzania where he once lived during the struggle for
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu Ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na wananchi na kuhusu kazi, na namna zaidi ya Shilingi Trilioni 3.1 toka serikalini kuja Mkoa wa Tanga zilivyobadili maisha yao kupitia miradi mbalimbali katika

Jioni nzuri na wananchi katika mkutano kwenye Uwanja wa Mkwakwani, ikiwa ni sehemu ya ziara yangu ya kikazi mkoani Tanga. Ahsanteni sana Tanga.

Jioni nzuri na wananchi  katika mkutano kwenye Uwanja wa Mkwakwani, ikiwa ni sehemu ya ziara yangu ya kikazi mkoani Tanga. 

Ahsanteni sana Tanga.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia Waislamu wote kheri na mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atuongoze na kutusimamia kwenye Ibada hii muhimu katika imani, aipe kibali cha kheri na kuipokea. Katika Ibada hii na kama ambavyo tumeendelea kufanya wakati wote,

Nawatakia Waislamu wote kheri na mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atuongoze na kutusimamia kwenye Ibada hii muhimu katika imani, aipe kibali cha kheri na kuipokea. 
 
Katika Ibada hii na kama ambavyo tumeendelea kufanya wakati wote,
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia kheri kwenu nyote katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na mmoja wa waasisi wa Taifa letu. Kumbukizi za maisha ya waasisi wa Taifa letu zinazobeba kazi, historia na fahari ya

Nawatakia kheri kwenu nyote katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na mmoja wa waasisi wa Taifa letu.

Kumbukizi za maisha ya waasisi wa Taifa letu zinazobeba kazi, historia na fahari ya
Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Hii hapa habari njema kwa Watumishi wa Umma. Ni nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1. Kima cha chini kitaongezeka kutoka shilingi 370,000/- hadi shilingi 500,000/-. Pia nyongeza nono kwa watumishi wa ngazi nyingine za mshahara. Nikisema KAZI NA UTU!!!!

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Charles Hilary, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar kilichotokea leo Mei 11, 2025. Ninatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi, familia, ndugu, jamaa na

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Charles Hilary, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar kilichotokea leo Mei 11, 2025.

Ninatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi, familia, ndugu, jamaa na
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Siku ya Mama Duniani, siku maalum ya kuwatambua, kuwaenzi na kuwapongeza mama zetu kwa mchango wao mkubwa katika ustawi wa familia, jamii na Taifa letu kwa ujumla. Kwa moyo wa dhati ninawapongeza mama wote kwa kazi kubwa ya malezi mnayoifanya ambayo ni msingi wa Taifa letu

Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030. With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to

Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030. 

With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to
WHO African Region (@whoafro) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Prof. Mohamed Janabi, proposed by Tanzania🇹🇿, has been nominated as the next WHO African Region Regional Director during a Special Session of the WHO Regional Committee for Africa, held today in Geneva. Prof. Janabi will be appointed by World Health Organization (WHO) Executive Board, to be held on 28-29

BREAKING: Prof. Mohamed Janabi, proposed by Tanzania🇹🇿, has been nominated as the next <a href="/WHOAFRO/">WHO African Region</a> Regional Director during a Special Session of the WHO Regional Committee for Africa, held today in Geneva.

Prof. Janabi will be appointed by <a href="/WHO/">World Health Organization (WHO)</a> Executive Board, to be held on 28-29