profile-img
EastAfricaRadio

@earadiofm

Official account for East Africa Radio

calendar_today08-10-2011 06:27:04

179,2K Tweets

1,2M Followers

9 Following

EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

EAST AFRICA BREAKFAST (Saa 11:00 - 3:00 Asubuhi)

NDOTO YAKO

Wengi wakiwa wadogo walitamani kuja kuwa watu fulani kwenye jamii au kuja kufanya kazi fulani .

Wewe ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa mkubwa uje kuwa nani au kufanya nini na umetimiza ndoto yako?

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

EastAfricaRadio Nipo safarini kwenda mjini Iringa 90.9 ndio Mimi nilikua nandoto nilipo kuwa mtoto yakua mwalimu nikiwa mkubwa na ndoto Yangu hio haija timia kwasababu zilizo inje ya uwezo wangu tuko pamoja

account_circle