Mzazi Willy M. Tuva
@mzaziwillytuva
Best Radio/TV Personality In Africa @afrimma 2019 | Host MamboMseto on Radio Citizen, Mseto Africa on CitizenTV|CEO Mseto East Africa: Founder Mzazi Foundation
ID:459998804
https://www.instagram.com/Mzaziwillytuva/ 10-01-2012 08:31:30
105,7K Tweets
309,6K Followers
1,2K Following
Follow People
JUA USIYOJUA : Fathermoh Reveals The Untold Truth Behind The Song #KaskieVibaya .
youtu.be/Xegvt_qAtVQ
FAINALI za #SafaricomChapaDimba zinanogeshwa na Mseto!! Tupatane Jomo Kenyatta Stadium, Mambo Leo - #Kisumu the whole weekend! Kicking off from Thursday 11th April to 14th April!
Musa Jakadala atakuwepo!
Min Jacky ndani!
DJ Flash Kenya na Dennis osieko kwenye mixx!
Don't miss omera
Kwa mujibu wa NTSA KENYA, kuanzia Januari zaidi ya watu elfu moja wamefariki kutokana na ajali za barabarani nchini. Hii inashtua! Unadhani sababu ya ongezeko la ajali ni nini?
Ajali zimezidi nchini, tuzidi kuomba na kuwa makini zaidi barabarani. #EndRoadCarnage
Nation Africa
To stay on top we have to keep moving. ARSENAL, to stay on top we have to keep winning. Leo ndio ile siku.
Tune in #MsetoExtra 1pm-4pm Radio Citizen tujibambe kabla ya mechi π
You think you know FATHERMOH? Tune in to #MamboMseto ujue usiyoyajua kumhusu huku ukifurahia hit baada ya hit toka kwake, and furthermore tunakujenga na mengi kwenye Radio Citizen 1pm-4pm | Nini unataka sana kujua kumhusu #FATHERMOH ? Tune in.
Kadot
DJ Flash Kenya
Let's see, kati ya #Chelsea na #ManchesterUnited nani zaidi?! Come watch the match as you dance to #SoundsOfAfrica at Art Club, Imara Mall with yours truly alongside DJ Tellem, DJ Kibe, Hype Antoh, Boyani Eunice FundiFrank | Thursdays happen here!
Watu wanaongea mengi kufuatia kifo cha Tiktok Influencer BRIAN CHIRA na kuuliza maswali mengi yanayomlenga BABA TALISHA kuhusu matumizi ya MAMILIONI ya pesa zilizochangishwa kufadhili maazishi ya CHIRA. Sikiliza #MamboMseto 1pm-4pm Radio Citizen alongside weezdom
TONIGHT will be a special THURSDAY at @artclub_ke as we celebrate #SoundsOfAfrica with @djtibzkenya @dj_tellem_ @dj_kibe alongside @hypeantohofficial. Long weekend sherehe inaanzia ART CLUB, IMARA MALL, Mombasa Road.
@sameerbry
@fundifrank
DJ Flash Kenya
weezdom
#Gethooked ! Are you a rapper and think you can kill it on #MsetoCypher keeping the audience HOOKED with your punchlines? Record a one minute video and tag me on any of my social media platforms using the following hashtags #MsetoCypher #SafaricomHook #GetHooked Safaricom PLC
You only fail when you fall and refuse to get up and keep going.
Mzazi nalea vipaji vya kila aina.
Wang'uru International Stadium - Kirinyaga
#SafaricomChapaDimba
@safaricomplc_