MWAUWASA(@mwauwasatz) 's Twitter Profileg
MWAUWASA

@mwauwasatz

Mwanza Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA) supplies safe and clean water abstracted from Lake Victoria to meet required water quality standards.

ID:956905596451786752

linkhttp://www.mwauwasa.go.tz calendar_today26-01-2018 15:04:07

786 Tweets

703 Followers

8 Following

MWAUWASA(@mwauwasatz) 's Twitter Profile Photo

Kazi inaendelea; tafadhali lipia ankara (bili) yako ya maji sasa ili kuiwezesha Mamlaka kuboresha huduma.

account_circle
MWAUWASA(@mwauwasatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ametoa OFA MAALUM kwa wateja wote waliositishiwa huduma ya maji kurejeshewa bila kulipa ada ya kurejesha huduma yaani reconnection fee. Usikubali Idd hii ikufikie ukiwa huna huduma ya maji. Changamkia OFA MAALUM urejeshewe huduma papo hapo.

Asante Mhe. Diwani Kata ya Igoma. Tunaahidi kuendelea kuchapa kazi kwa lengo la kuimarisha upatikanaji wa huduma katika maeneo yote tunayohudumia

MWAUWASA imepongezwa kwa jitihada zilizofanyika kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa kata ya Igoma mkoani Mwanza kufuatia kukamilika kwa Mradi wa maji Butimba

Hayo yamesemwa katika kikao cha kamati ya maendeleo ya kata hiyo kilichofanyika April 08. 2024

MWAUWASA imepongezwa kwa jitihada zilizofanyika kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa kata ya Igoma mkoani Mwanza kufuatia kukamilika kwa Mradi wa maji Butimba Hayo yamesemwa katika kikao cha kamati ya maendeleo ya kata hiyo kilichofanyika April 08. 2024
account_circle
MWAUWASA(@mwauwasatz) 's Twitter Profile Photo

Mpendwa Mteja wa MWAUWASA usikubali kuwa kikwazo cha kuimarisha upatikanaji wa huduma kwa wengine; lipia sasa ankara yako, Mamlaka iendelee kuboresha huduma. Mwanza ni yetu sote; tushirikiane kuijenga kwa kulipa kwa wakati ankara za Maji

MWAUWASA inapenda kuufahamisha umma kuwa imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ya kutoa msamaha kwa wateja wote waliositishiwa huduma ya maji kurejeshewa bila kulipa ada ya kurejesha huduma (reconnection fee).

Mradi Butimba umekamilika na kazi inayofanyika sasa ni ya kulaza mabomba ya kusambaza maji. Ipo mikakati ya kuweza kuboresha huduma za maji ikiwa ni pamoja na ujenzi wa miundombinu mikuu ya kusambaza maji kwa maana ya kuongeza mtandao wa bomba, kujenga matenki ili kufikia wengi

'Mradi wa Butimba umekamilika kwa 100% na uzalishaji unafanyika kulingana na usambazaji unavyokwenda na hatua zinazoendelea ni za kuboresha mifumo ya usambazaji maji ili kufikia wananchi wengi zaidi kadri ambavyo mradi ulivyotarajiwa kufika,' Neli Msuya Mkurugenzi MWAUWASA

“Kwa tulichokiona kinavutia na kinafurahisha, tumeanzia pale maji yanapochotwa ziwani hadi hatua ya mwisho ambapo majisafi na salama yanaruhusiwa kufika kwa wananchi; kwa tulichokiona kwa macho ni kitu kizuri, ni mradi mzuri,”
Kamati ya Kudumu ya Bunge Hesabu za Serikali (PAC)

“Kwa tulichokiona kinavutia na kinafurahisha, tumeanzia pale maji yanapochotwa ziwani hadi hatua ya mwisho ambapo majisafi na salama yanaruhusiwa kufika kwa wananchi; kwa tulichokiona kwa macho ni kitu kizuri, ni mradi mzuri,” Kamati ya Kudumu ya Bunge Hesabu za Serikali (PAC)
account_circle
MWAUWASA(@mwauwasatz) 's Twitter Profile Photo

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeridhishwa na ufanisi wa mradi wa maji wa Butimba na imepongeza jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Maji kwa kufanikisha mradi huo. Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Japhet Hasunga amesema hayo baada ya kutembelelea mradi

Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso anawatakia kila lakheri Watanzania wote katika Kilele cha Wiki ya Maji na Siku ya Maji Duniani kesho tarehe 22 March 2024 Aidha, MWAUWASA inawakaribisha wananchi wa Jiji la Mwanza katika Dawati la Huduma kwa Watejaeneo la jirani na Gandhi Hall.

Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA amekuwa mmoja wa washiriki katika kipindi maalum cha Kurasa 365 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo mafanikio mbalimbali katika sekta ya Maji Nchini yamejadiliwa. Tukio linafanyika Mlimani City Jijini Dar

Mafundi wa MWAUWASA wakiunga bomba la inch 10 linalosafirisha maji kutoka Tenki la maji Kawekamo kwenda Tenki la Buswelu kupitia pampu ya maji Kiseke

Kukamilika kwake kutaimarisha huduma kwa wakazi wa Buswelu, Halmashauri, Kigala, Mlimani city, Buyombe na Masanza

Mafundi wa MWAUWASA wakiunga bomba la inch 10 linalosafirisha maji kutoka Tenki la maji Kawekamo kwenda Tenki la Buswelu kupitia pampu ya maji Kiseke Kukamilika kwake kutaimarisha huduma kwa wakazi wa Buswelu, Halmashauri, Kigala, Mlimani city, Buyombe na Masanza
account_circle