C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile
C H A M P

@mpambazi

Founder & CEO - @champ_products |Entrepreneur | Leader | Natural Beauty Expert |Vegan | WINNER | GOD IN ME |📩: [email protected]

ID: 910852963404517376

calendar_today21-09-2017 13:07:24

224,224K Tweet

171,171K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Carol Ndosi (@carolndosi) 's Twitter Profile Photo

Jamaniiiii! Leo nimetembelewa na Presenter Noah na MIZAWADI I ‘m like a kid nikipokea zawadi maana sadly huwa natoa sana zaidi ya kupokea 😄this was such a nice SURPRISE! Love presents that say ‘ I GET YOU’ - the Coffee Cup and my Fav photo of myself 😍😍 Asante sana NOAH 🙏🏾

V▪︎E▪︎T▪︎A ®️ (@philipsimon2) 's Twitter Profile Photo

Niktumia Sabuni ya Champ ninatqfuta unadhifu wa Ngozi ynagu na diyo SMARTness ninayoizungumzianhapa jua kuwa you will be judged kwa muonekano wako ili mtu akupe heshima unayostahili si wewe una mandevu kama steel wire subiri tu utakuja siku moja ukione cha mtema kuni Wakukaya 😂

#DadaAko♏444 (@lee_guidotti) 's Twitter Profile Photo

Naomba nisaidie kuretweet ❤️ Pochi zetu za kipekee zinapatikana kwa Tsh 38,000 tu! Material: TOP NOTCH 🔥🔥 Simu yako, hela zako, na kila unachohitaji vikiwa salama na mitoko yako ikikaa smart! 📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0683094746 Hurry, stock ni chache!

Naomba nisaidie kuretweet ❤️

Pochi zetu za kipekee zinapatikana kwa

 Tsh 38,000 tu! 
Material: TOP NOTCH 🔥🔥

Simu yako, hela zako, na kila unachohitaji vikiwa salama na mitoko yako ikikaa smart!

📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0683094746

Hurry, stock ni chache!
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Ila wachaga bana kwahiyo mlitaka Kikeke afanye kazi BBC huku akitokea moshi? Yaani anaenda BBC asubuhi alafu akimaliza kipindi anarudi moshi kesho tena kama kawa. Najaribu kuwaza kwa sauti tu.

JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi (@jabirsaleh) 's Twitter Profile Photo

UPANDE WA PILI USIOFAHAMU WA RADO /NDOTO ZA UPADRE Ukisikiliza wimbo wa “Njia” au “Wewe” kwa jina jingine kina mstari Rado.kiraka anasema “Kujiachia imo Ila usimsahau Mkuu” ,na pia katika wimbo wa usiulize“ ambao wengi wanautazama jama wa Beef tu ,kuna line anasema “Fanyeni 👇🏾

C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

14: ⁹lakini kwa harufu ya maji utachipuka, na kutoa matawi kama mche. - hapa unazungumziwa mti ukisoma kuanzia ⁷ utaelewa vyema neno hili ambalo msingi wake ni Matumaini.🙏🏿