Wamuhira (@mishitaw) 's Twitter Profile
Wamuhira

@mishitaw

GodFirst🙏||WTNetwork||Manchester United || YoungAfricaSC || MedicalPersonel💊 ||DieTrying🤛|| TryHarder|| EngagementAddiction|| NeverGiveUp🤛

ID: 1225870213054443522

calendar_today07-02-2020 19:53:57

32,32K Tweet

8,8K Takipçi

6,6K Takip Edilen

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Jamaa ana Masters, Na Kipaji cha Kuigiza Sauti ya mtu yoyote 😂😂😂 Anawaambia Watu kuwa ikatokea ukataka Collabo na Msanii na akawa Bussy uniite 😂😂😂 Au Hata mtangazaji akiwa anaumwa nitaweza ku-cover nafasi yake 😂😂🙆‍♂️ Sikiliza kipaji chake.. Video kwa Comments 👇

Jamaa ana Masters,

Na Kipaji cha Kuigiza Sauti ya mtu yoyote 😂😂😂

Anawaambia Watu kuwa ikatokea ukataka Collabo na Msanii na akawa Bussy uniite 😂😂😂

Au Hata mtangazaji akiwa anaumwa nitaweza ku-cover nafasi yake 😂😂🙆‍♂️

Sikiliza kipaji chake..

Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Dj wa Dogo Paten, DJ Boba. Amesema kuwa yeye na Msanii wake, walishindwa hadi kula kutokana na Majibu waliyojibiwa na wale Watangazaji 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Msikilize... Video kwa Comments 👇

Dj wa Dogo Paten,

DJ Boba.

Amesema kuwa yeye na Msanii wake, walishindwa hadi kula kutokana na Majibu waliyojibiwa na wale Watangazaji 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

Msikilize...

Video kwa Comments 👇
Wamuhira (@mishitaw) 's Twitter Profile Photo

Huwezi jua huo ulevi wa kupindukia huenda umesababishwa na mfumo wa giza ili usione nuru uwe na cycle yako tu (kazini+ bar+nyumbani then repeat) unahitaji maarifa ili uelewe namna mfumo unavyofanya kazi ili uishi maisha halisi out of dark system 🚫STOP ALCOHOL

Wamuhira (@mishitaw) 's Twitter Profile Photo

Kazini + Bar+ Nyumbani then REPEAT Nyumbani+ Bar + kazini then REPEAT Kama unaishi kwenye mfumo huo we unatumika vibaya na wenye dunia yao unahitaji neema ya Mungu mwenyewe

Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏 👉Bei Jezi ya ligi 27,000/= 👉Bei jezi ya zamani(Vintage) 35,000/= 👉Huduma ya kuprint inapatikana Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏

👉Bei  Jezi ya ligi 27,000/=
👉Bei jezi ya zamani(Vintage) 35,000/=
👉Huduma ya kuprint inapatikana

Wa.me/+255623346245
Au 0714336827

👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Wamuhira (@mishitaw) 's Twitter Profile Photo

Wengine muda huu wako nyumbani na Wake zao wanapanga maisha namna ya kulea watoto wakue katika maadili ili wawe wazuri wewe uko Bar unabugia mapombe tu huna time na familia mwisho wa siku wife akikudharau unaanza kusema “wanawake hawana akili” haya tu bugia bro Stop Alcohol🚫

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears ♥️ Ikiwa kuna jambo lolote gumu unapitia kwa sasa amini hata hilo litapita kama mengine yalivyo pitaga mtegemee Mungu fanya ibada na kila kitu kitakua sawa AMANI IWE NANYI NAWAPENDA WOTE 🤗🥰🥰

Hello Dears ♥️ Ikiwa kuna jambo lolote gumu unapitia kwa sasa amini hata hilo litapita kama mengine yalivyo pitaga mtegemee Mungu fanya ibada na kila kitu kitakua sawa AMANI IWE NANYI NAWAPENDA WOTE 🤗🥰🥰
Wamuhira (@mishitaw) 's Twitter Profile Photo

Hapo umelewa mbwiii unajisemea moyoni hutarudia tena na unaapa kuwa leo mwisho …. Pole sana rafiki yangu ila tambua hyo nguvu inayokuzuia kuacha sio ya kawaida ni mfumo wa kukufanya uwe takataka asiefaa….. shituka Stop Alcohol🚫

Wamuhira (@mishitaw) 's Twitter Profile Photo

Leo ni monday nakuombea Mungu abariki hustles zako za wiki nzima Lakin katika plan zako usisahau ile nshu yetu ya kuacha pombe blaza fanya kila Mbinu uache wanzuki sio dili Good morning guys 🙏