millardayo(@millardayo) 's Twitter Profileg
millardayo

@millardayo

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]

ID:132880407

linkhttp://www.millardayo.com calendar_today14-04-2010 12:30:30

145,2K Tweets

2,7M Followers

489 Following

millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Huu ni muonekano wa Mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara leo May 03,2024 ambapo vipindi vya mvua nyepesi na upepo wa wastani tayari vimeanza kujitokeza katika maeneo ya Mtwara Mjini ikiwa ni moja ya athari zilizosababishwa na uwepo wa kimbumga “HIDAYA”…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amewasili Mkoani Iringa kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Mikoa minne leo May 03,2024 ambapo atakagua uhai wa Jumuiya hiyo, kufanya mikutano ya ndani na kusikiliza kero za Wananchi kwenye mikutano ya hadhara.

Hapi ameanza…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Tanzania umeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya Nchi ambapo hadi kufika saa tatu usiku wa tarehe 02 Mei 2024 kilikuwa umbali…

Nilimsikia Daktari mmoja anasema Binaadamu yeyote anayekunywa maziwa ya Ng’ombe anachota mifaida ya kutosha kama vile kuongeza afya ya moyo, afya ya ngozi na nywele, ku-boost kinga za mwili, kuboresha afya ya mifupa na meno pamoja na kusaidia Mtu ku-relax, ………sasa baada ya…

Wanasema moto usikie kwa wenzako tu......... na ni kweli, ukijaribu kuvaa viatu vya hawa Wapangaji utaona ni vizito kiasi gani usiku wa leo, walitoka zao asubuhi kwenda mihangaikoni kujitafutia rizki na jioni hii watarudi nyumbani kwao na kukuta vyumba vyote 11 walivyopangishiwa…

Pata picha unaleta Mafundi nyumbani kuja kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba yako alafu wanatumia mwanya huohuo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali unavyomiliki alafu pale uliposafiri tu na kumuacha housegirl wakavamia na kumuua kisha kufanya wizi.

Hiko ndicho…

Pata picha unaleta Mafundi nyumbani kuja kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba yako alafu wanatumia mwanya huohuo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali unavyomiliki alafu pale uliposafiri tu na kumuacha housegirl wakavamia na kumuua kisha kufanya wizi. Hiko ndicho…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo May 02,2024 ameongoza maandamano ya amani katika Mji wa Iringa ambapo maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Mwembetogwa.

Maandamano hayo yamebeba ajenda…

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo May 02,2024 ameongoza maandamano ya amani katika Mji wa Iringa ambapo maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Mwembetogwa. Maandamano hayo yamebeba ajenda…

Rais wa Kenya, William Ruto ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Kenya amempandisha cheo Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) wa Kenya.

Uteuzi wa Jenerali Kahariri unakuja Wiki mbili baada ya…

Rais wa Kenya, William Ruto ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Kenya amempandisha cheo Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) wa Kenya. Uteuzi wa Jenerali Kahariri unakuja Wiki mbili baada ya…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo May 02,2024 ameongoza maandamano ya amani katika Mji wa Iringa ambapo maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Mwembetogwa.

Maandamano hayo yamebeba ajenda…

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo May 02,2024 ameongoza maandamano ya amani katika Mji wa Iringa ambapo maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Mwembetogwa. Maandamano hayo yamebeba ajenda…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo May 02,2024 ameongoza maandamano ya amani katika Mji wa Iringa ambapo maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Mwembetogwa.

Maandamano hayo yamebeba ajenda…

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo May 02,2024 ameongoza maandamano ya amani katika Mji wa Iringa ambapo maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Mwembetogwa. Maandamano hayo yamebeba ajenda…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kufuatia taarifa iliyotolewa jana May 01, 2024 na TMA kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Mtwara, mgandamizo huo mdogo wa hewa umeendelea kuimarika na kuwa kimbunga “HIDAYA” chenye…

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema mauzo ya mazao ya kilimo nje ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 yamefika dola bilioni 2.3 ikilinganishwa dola bilioni 1.2 mwaka 2019/2020.

Akiongea Bungeni Jijini Dodoma leo May 02,2024 wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi…

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema mauzo ya mazao ya kilimo nje ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 yamefika dola bilioni 2.3 ikilinganishwa dola bilioni 1.2 mwaka 2019/2020. Akiongea Bungeni Jijini Dodoma leo May 02,2024 wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa sasa Tanzania ni Mzalishaji wa pili wa tumbaku Afrika kutoka katika kundi linaloitwa 'others' ambapo uzalishaji umeongezeka kutoka tani elfu 70.69 mwaka 2021/2022 na sasa ni uzalishaji wa tani 125,592.

Akiongea Bungeni Jijini Dodoma…

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa sasa Tanzania ni Mzalishaji wa pili wa tumbaku Afrika kutoka katika kundi linaloitwa 'others' ambapo uzalishaji umeongezeka kutoka tani elfu 70.69 mwaka 2021/2022 na sasa ni uzalishaji wa tani 125,592. Akiongea Bungeni Jijini Dodoma…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Sekta ya Kilimo katika mwaka 2023 imekua kwa asilimia 4.2 kutoka asilimia 2.7 ya mwaka 2021 na imechangia asilimia 26.5 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022.

Akiongea Bungeni Jijini Dodoma leo May 02,2024 wakati…

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Sekta ya Kilimo katika mwaka 2023 imekua kwa asilimia 4.2 kutoka asilimia 2.7 ya mwaka 2021 na imechangia asilimia 26.5 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022. Akiongea Bungeni Jijini Dodoma leo May 02,2024 wakati…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amekutana na Vijana zaidi ya 223, wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za sanaa maarufu kama 'Wadudu' na kuwataka kuwa Walinzi na Mabalozi wazuri wa kutangaza mazuri ya Mkoa wao wa Arusha na kutojihusisha na uhalifu kwenye Jamii.

Makonda…

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amekutana na Vijana zaidi ya 223, wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za sanaa maarufu kama 'Wadudu' na kuwataka kuwa Walinzi na Mabalozi wazuri wa kutangaza mazuri ya Mkoa wao wa Arusha na kutojihusisha na uhalifu kwenye Jamii. Makonda…
account_circle