Mohamed .j. Lardhi (@lardhij) 's Twitter Profile
Mohamed .j. Lardhi

@lardhij

ID: 1302529432121466882

calendar_today06-09-2020 08:50:17

102 Tweet

122 Followers

434 Following

Mohamed .j. Lardhi (@lardhij) 's Twitter Profile Photo

What is meant for you,will reach you even if it is beneath two mountains. And what isn't meant for you,won't reach you even if it is between your two lips."

Mohamed .j. Lardhi (@lardhij) 's Twitter Profile Photo

Tanzania is magulified!!!Thank's again mr. President jpm this election results was expected by majority loyal citizens of Tanzania. Aluta continua with the process of magulifying Tanzania!💪💪💪

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Wanaume Bahili Duniani umempokea ndugu #DonaldTrump kama mmoja wanachama wao kutambua juu ya misimamo yake thabiti kuanzia sasa ndugu #DonaldTrump atakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya msimamo.

Umoja wa Wanaume Bahili Duniani umempokea ndugu #DonaldTrump kama mmoja wanachama wao kutambua juu ya misimamo yake thabiti kuanzia sasa ndugu #DonaldTrump atakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya msimamo.
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Inatia faraha sana na raha sana kusikia maneno ya hivi kutoka kwa Mheshimiwa Rais.. Sisi wengine ni wahanga wa ubabe wa kambale basi maneno ya hivi yanafanya roho zetu kuwa baridiiiiiiiiiiiiii ❄️❄️❄️ Tumuombeee sana huyu Rais 🙏

Mohamed .j. Lardhi (@lardhij) 's Twitter Profile Photo

Uko sahihi kabisa hao si watu wazuri wanshiriki dhulma Mimi wamenidhuru hao wote wawili Kwa kumsaidia GSM kudhulumu ardhi yangu kigamboni yenye thamani kubwa.

MΔCMUG∆ ®.....PhD📚 (@musisa90) 's Twitter Profile Photo

Boniface Jacob Hivi uzuri na ubora wa jersey ni upi? Shida yetu tunapenda kujilinganisha sana na mtani yaani mlitaka tuweke madude dude kama mtani. Jersey ni kali, quality iko sawa mnataka nn tena?

iam_Jac (@iam_jac5) 's Twitter Profile Photo

Mzee William : Nilienda TLS kuomba msaada kuhusu kesi ya mtoto wangu aliyeuwawa na polisi, wakaniambia kufanya kesi na Serikali ni changamoto, wakaopa kuchukua kesi yangu #ChangeTanzania #WenyeNchiWananchi #KatibaMpya bit.ly/3lwEDJZ

Cobra (@norublenogas) 's Twitter Profile Photo

Ayubu Madenge Finiland Population 5.5M,Suedi 10M,so the target na tishio kwa Urusi ni Ukraine yenye watu 44M na Viwanda vya Silaha tofauti ndani ya ulata kwa ujumla. Sehemu walizochukua kutoka Ukraine ni kubwa sana kuliko hizo nchi mbili. na Ukraine itaendelea kumegwa mdogo mdogo......

Mohamed .j. Lardhi (@lardhij) 's Twitter Profile Photo

Inasikitisha sana malalamiko yote juu yake ukosefu wa maadili na kuhusika na dhulma za kusaidia watu wake familia ya GSM kudhulumu watu kupitia mahakama bado anapewa nyadhifa za juu katika mahakama zetu!