KIPEPE ๐
@kipepe123
Social media influencer
ID:1188547956758274048
27-10-2019 20:08:31
166,3K Tweets
433,0K Followers
985 Following
Utafiti wa HakiRasilimali umebaini kuwa vitendo haramu kama ugaidi, magendo, rushwa na ukwepaji kodi vinakwamisha ukuaji wa sekta ya dhahabu na madini ya thamani.
Sera na kanuni madhubuti zinahitajika kukabiliana na changamoto hizi.
#IllicitMiningTanzania
#Revenuecollection
Moyo wa TAIFA โข๏ธ Kipepe bado yuko kwenye mode ya Kasulu Vijijini. Hela yake ngumu sana kutoka. Aliwahi kuninunulia kuku Dodoma hadi leo nikikutana naye ananikumbusha kuwa anininunulia.
Utafiti wa 'Mapping Illicit Mining' wa HakiRasilimali unaonyesha kuwa kukabiliana na vitendo haramu kwenye sekta ya madini kupitia sera na kanuni madhubuti kutasaidia kuongeza mapato na kuendeleza uchumi.
#IllicitMiningTanzania
#Revenuecollection
Sekta ya dhahabu na madini ya thamani nchini Tanzania inachangia sana uchumi wa taifa na maisha ya jamii, lakini inahitaji kuboresha ukusanyaji wa mapato.
Utafiti wa HakiRasilimali umeonyesha njia za maendeleo endelevu na matumizi sawa ya rasilimali.
#IllicitMiningTanzania
Binti Mpole anauliza, Ni njia zipi anaweza kutumia kupunguza mabadiliko ya hisia wakati wa hedhi?
#redagenda #mhm2024 #feminahip
Cc Femina Hip
Binti Mpole anauliza, Ni njia zipi anaweza kutumia kupunguza mabadiliko ya hisia wakati wa hedhi?
#redagenda #mhm2024 #feminahip
@feminahip
Sehemu zenye madini, gesi na mafuta uwa hazikosi conflicts, reason behind uwa ni nini ambacho hatujui wengi?
#IllicitMiningTanzania
#Revenuecollection
Flex by Serikali Kuu Ya Mizuka imedondoka leo rasmi, wahuni wamezika then wakasafirisha.
Natamani sana niendelee kumuona Deddy akifanya muziki na kuachia project zaks, naamini sana kwenye kipaji chake, mwana ni zao la CBE๐
youtu.be/WiBgb7tU8PY?siโฆ
Kwamba una eneo lako lets say shamba, una hati miliki, anakuja mtu ana leseni ya uchimbaji anaanza tuu kuchimba eti? ๐
Kuna watu wana utani sana.
#IllicitMiningTanzania
#Revenuecollection