khaulat(@khaulat10) 's Twitter Profileg
khaulat

@khaulat10

ID:1534559955050717190

calendar_today08-06-2022 15:36:43

31 Tweets

170 Followers

637 Following

khaulat(@khaulat10) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr.hussein Ali Mwinyi akipokea tarifa ya shughuli za maendeleo kwa mkoa wa kusini Pemba leo .khafla iliyofanyika ukumbi wa kiwanda cha makonyo chake chake Pemba.

account_circle
khaulat(@khaulat10) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr.hussein Ali Mwinyi akiwa katika Kisiwa ya kojani Wilaya ya Wete kaskazini PEMBA.

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr.hussein Ali Mwinyi akikabidhi bodaboda ya dhafla ya ufunguzi wa Benki ya CRDB BENK Wilaya ya Wete Pemba.

watoto watano wanusurika kufa baada ya nyumba wanayo ishi kuungua moto huko Mtega wawi Wilaya ya chake chake Pemba.

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhajj Hussein Ali Mwinyi ameungana na waumini wa Dini ya kiislamu katika swala ya Eid El Hajj iliyoswaliwa katika mskiti wa Jitimai .kidoti mkoa wa kaskazini Unguja..

serekali yawataka wanajamii kutowaficha watoto wao wenye Ulemavu kwan watawasababibishia kukosa haki zao za msingi hivyo kujitokeza kwa wingi katika zoezi la Sensa ya Watu na makazi litakalo fanyika hapo Agost 23 mwaka huu.

picha ikionesha ufunguzi wa maduka ya wafanya biashara darajani karibu na ufisi kuu ya CCM Kisiwa nduwi Zanzibar

Wandishi wa habari nchini wametakiwa kuzisoma na kuzielewa sheria za habari kwa ufanisi na bila vikwazo.Mafunzo hayo yamefanyika samail gombani chake chake Pemba .