My Son (@kawawa_p) 's Twitter Profile
My Son

@kawawa_p

PROUD TO BE TANZANIAN ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

ID: 1596880164209758208

calendar_today27-11-2022 14:55:05

2,2K Tweet

301 Followers

478 Following

My Son (@kawawa_p) 's Twitter Profile Photo

My Son, Mwisho wa Siku za Maisha yako, utakumbukwa kwa :- 1. Matatizo uliyoyasababisha au 2. Matatizo uliyoyatatua. Chagua kukumbukwa.

My Son (@kawawa_p) 's Twitter Profile Photo

My Son, Ukizaliwa kitu peke yake cha uhakika ni kufa, sasa usiwe na hofu chenye unauhakika nacho, pambana na vitu ambavyo huna uhakika navyo.

My Son (@kawawa_p) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa mwaminifu kwenye wito wa Mungu haikupi tiketi ya kwenda mbinguni ila Mungu itakufungulia mlango Mungu akutazame usipotee.