kingkabadojr (@kabadojacob) 's Twitter Profile
kingkabadojr

@kabadojacob

junior of all talent

ID: 3344418071

calendar_today24-06-2015 18:38:58

4,4K Tweet

129 Followers

160 Following

kingkabadojr (@kabadojacob) 's Twitter Profile Photo

....Mungu anayenilinda hasinzii wala halali usingizi (Zaburi 121). Mungu atasambaratisha mhimili wa waovu (the axis of evils), ushirika wa waovu (the alliance of evils) na fungamano la waovu (coalition of evils)! Shoka liko shinani!......

kingkabadojr (@kabadojacob) 's Twitter Profile Photo

Kubali ukweli, binadamu wote sio sawa, walioweka kauli ya kuwa binadamu wote ni sawa, hao watu kilikuwa ni kikundi cha watu desperate waliochoka kuwaza na kufikiri wakaamua kutafuta tumaini hewa. Amini, Dunia ina madaraja ya binadamu, ...endelea kuwaza kijuimuishi utaona moto.

kingkabadojr (@kabadojacob) 's Twitter Profile Photo

Kuna ambao wameandaliwa maisha bora na wazazi wao na kuna wengine tumeandaliwa kuwatengenezea maisha bora wazazi wetu. HATUFANANI, kikubwa ni kuheshimiana tu maisha yasonge.