Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile
Jon Mrema

@jonmrema

Former Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .

ID: 2745483856

linkhttp://www.chadema.or.tz calendar_today17-08-2014 15:55:08

4,4K Tweet

213,213K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Msikilizeni huyu shujaa wenu Mpya ,alipohojiwa kuhusu 2020 election na mambo mengine kuhusu haki za watu . Check out StanslausLambat (Mkutubi26)'s video! #TikTok vm.tiktok.com/ZMSsvJR4b/

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Ninaomba Kuwashukuru Viongozi watu 1. Mh Salum Mwalimu 2. Mh Benson Kigaila 3. Mh John Mrema Ni Viongozi waliopambana bila kuogopa na hasa wakati huu wameamua kuendeleza harakati bila Kuogopa. Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Bawacha Kanda Ya Pwani Leo Amejivua Uanachama wake na

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Hakika ZANZIBAR imeitwa ikaitika Salum Mwalim Mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania awasili Zanzibar akiambatana na Mgombea wa Umakam wa Rais wa Tanzania Mh. Devotha Minja *#Uwakilishi Makini* *#Tunaendelea Tulipoishia*

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako" Hosea 4:6 Ujumbe huu uwafikie wale wanaomwamini Polepole leo , eti

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Udiwani Kata ya Kiboriloni CHAUMMA akielezea jinsi alivyoweza kuimarisha ulinzi kwenye soko hilo,wakati Mgombea Urais Mhe.Salum Mwalim alipofika kuomba kura .