Jitu (@jitumaji1) 's Twitter Profile
Jitu

@jitumaji1

adgares // Father // @gee_mramba 's husband // cal me baba gabby// fan wa @young_african na @chelseaFC // @cristiano // na hustle for the sake of mama gee.

ID: 1548308988462108677

calendar_today16-07-2022 14:10:21

632 Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

Jitu (@jitumaji1) 's Twitter Profile Photo

naweza kutamka kwa ujasiri kwamba nampenda mungu wangu maana amekuwa upande wangu hata niliposahaua kumuita, anawaziba wenye chuki zidi yangu, alikonitoa Ni siri ya moyo wangu ahsante mungu kwakupendezwa Na mimi๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Katika wafanyabiashara zaidi ya Elfu30 wananufaika na huduma zitokanazo na Application hii ya Kuza Business......kwanini unakubali kukosekana katika idadi hiyo ya wanufaikaji Mkuu??? Unanufaika kwa kurahisishiwa katika kurekodi Mauzo,Matumizi na muenendo mzima wa Biashara

Katika wafanyabiashara zaidi ya Elfu30 wananufaika na huduma zitokanazo na Application hii ya <a href="/KuzaBusiness/">Kuza Business</a>......kwanini unakubali kukosekana katika idadi hiyo ya wanufaikaji Mkuu???

Unanufaika kwa kurahisishiwa katika kurekodi Mauzo,Matumizi na muenendo mzima wa Biashara
Swahili__A๐Ÿ’Š (@swahili__a) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO Siku mpya ni zawadi, tumia kila dakika kwa busara na uweke juhudi zako zote. Maisha yako yanastahili kupiganiwa..๐Ÿ‘Š๐Ÿพ GOOD MORNING TAIFA LA MUNGU ๐ŸŒ„

Officialshakuu๐Ÿ‚๐Ÿ€ (@officialshakuu) 's Twitter Profile Photo

๐ŸšจDunia imeoza ALIKIBA anasema kwenye party ya PUFF DIDDY alikuwa na R. KELLY kaongea kuhusu mafuta na Nani muhusika !!? ๐—ฉ๐—œ๐——๐—˜๐—ข ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—–๐—ข๐— ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

๐ŸšจDunia imeoza ALIKIBA  anasema kwenye party ya PUFF DIDDY alikuwa na R. KELLY kaongea kuhusu mafuta na Nani muhusika !!? 

๐—ฉ๐—œ๐——๐—˜๐—ข ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—–๐—ข๐— ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
LAST BORN๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@last_born97) 's Twitter Profile Photo

Haijalishi unatembea polepole kama kobe au kwa kasi kama twiga; muhimu ni kuendelea mbele. Kila mtu ana safari yake, na kila hatua, iwe ndogo au kubwa, ina thamani. Msemo "MWENDO WA KOBE, HATUA ZA TWIGA" inatukumbusha kwamba jitihada zetu zote zina maana.

๐ˆฬ๐ฆ๐ฆ๐š๐ง๐ฎ๐ž๐ฅ (@njamasi__) 's Twitter Profile Photo

Jaribu kuwa na maneno ambayo yanakujenga, popote unapozungumza iwe nyumbani, kijiweni, shuleni, kazini, kwa marafiki au kwa mpenzi chagua maneno yanayo kujenga, epuka kua na maneno yanayo kubomoa....maneno yanaumba, jiumbe vizuri โœ๏ธ๐Ÿ‘Š

MNYASA MVUVI (@mvuvinyasa) 's Twitter Profile Photo

Ndugu na shabiki wa Soccer TANZANIAN umeamkaje na umeonaje uonevu waliofanyiwa kengold zidi ya ile timu ya kwenye bahasha.. Anyway GOOD MORNING TANZANIA