ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profileg
ikulu_Tanzania

@ikulumawasliano

Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

ID:996683519991664640

linkhttp://www.ikulu.go.tz calendar_today16-05-2018 09:27:23

9,2K Tweets

436,8K Followers

8 Following

ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, 26 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, 26 Aprili, 2024.
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki ukiimbwa katika Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki ukiimbwa katika Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Rais Samia Suluhu Hassan amesema uimara na uendelevu wa Muungano uko mikononi mwa vijana ambao ndiyo wengi kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022. Rais Samia amesema hayo alipolihutubia taifa ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano
Twitter: ikulu_Tanzania
Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.

Katika Kuadhimisha Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, Songa na Samia SS, inaaangazia mchango wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Muungano huo tangu akiwa Waziri na Makamu wa Rais kwenye masuala hayo.

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewatunuku Nishani Viongozi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya Shamrashamra za Sherehe za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan akionesha Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 kabla ya kumkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.

Rais Samia Suluhu Hassan akimpa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein vitabu vya Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 lkulu Chamwino, Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.

Mmoja wa Waandishi wa Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 Balozi wa Tanzania nchini ltalia Mhe. Mahamoud Thabit Kombo akizungumza kabla ya uzinduzi wa Kitabu hicho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.