Love conquers all.
May your Wednesday be filled with love.
Good Morning family!
#hopechannel kenya #hopechannel tz #hopechannel
Read and study your bible everyday
karima kengere π°πͺ π°πͺ Hope Channel Tanzania Adventist Church SDA Church - Kibada
Yatosha Jangwani
@karimakangere
Hope Channel Tanzania SDA Church - Kibada ELVIS KUSAYA Adventist Church
Neno la Mungu ni dira yetu ya kweli na mwanga katika giza la maisha. Linatuongoza kwa upendo, haki, na hekima. Kupitia maneno yake, tunapata nguvu ya kuvuka changamoto na kuelekea kwenye maisha yenye amani na furaha ya kweli.
β’
β’
#hopechanneltanzania #tafakari #rohoyaunabii
Karibu kwenye Mkutano wa Injili 'Rudi Nyumbani', utakaofanyika katika Kanisa la SDA Church Kizingo kuanzia tarehe 9/6/2024 hadi tarehe 22/6/2024.
Karibuni sana!
#hopechannelkenya #hopechanneltz #Hopechannel #rudinyumbani
Wakati unapata mateso na maumivu basi sema yatosha
Hope Channel Tanzania SDA Church - Kibada karima kengere π°πͺ π°πͺ
Through His sacrifice, Christ offers redemption from every form of wrongdoing.
Are you ready to receive His Grace toady?
#hopechannel kenya #hopechannel tz #hopechannel
Mwanga wa Imani yetu katika Yesu huangaza katika giza la shaka, ukitoa matumaini na nguvu kwa wote wanaosonga mbele. Tuwe watumishi wa upendo na matumaini, tukieneza nuru yake kwa ulimwengu unaohitaji mwongozo. Ushindi wetu uko katika Imani yetu. #MwangaWaImani #YesuNiTumaini
Jiandae kukutana na Bwana wako katika #YatoshaJangwani kuanzia Mei 11 hadi Juni 01 kupitia Hope Channel Tanzania , Adventist World Radio - Tanzania , Rock FM Radio na kurasa za Mitandao ya Kijamii za South Nyanza Conference
Deuteronomy 1:43
So I spake unto you; and ye would not hear, but rebelled against the commandment of the LORD, and went presumptuously up into the hill.
Hope Channel Tanzania Adventist Church Ted Wilson SDA Church - Kibada
Kila kitu kibaya binadamu anachomfanyia mwanadamu mwezake iwe dhuluma au dhambi yeyote chanzo chake ni ubinafsi
End Time events Ministry
karima kengere π°πͺ π°πͺ Hope Channel Tanzania SDA Church - Kibada