WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
@gcumod
Karibu katika ukurasa wa Twitter wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
ID:983940305371230208
http://www.modans.go.tz 11-04-2018 05:30:24
178 Tweets
14,2K Followers
6 Following
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dr. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo tarehe Aprili 18, 2024 amefanya ziara ya kikazi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya 834 Makutupora iliyopo Makutupora jijini Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Dr. Stergomena Lawrence Tax Ashiriki Sherehe za Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dr. Stergomena Lawrence Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa JWTZ Walioko DRC
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dr. Stergomena Lawrence Tax Ashiriki ibada ya Pasaka Katika Kigango cha Shishani Wilayani Magu.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe Dr. Stergomena Lawrence Tax Awatembelea Wazee na Watoto Kituo cha MAPERECE, Magu Mkoani Mwanza
Waziri Dr. Stergomena Lawrence Tax Atembelea Msikiti Mkuu Wilaya ya Magu na Kutoa Futari kwa Waumini
Balozi wa Ubelgiji Tanzania Amtembelea na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Ulinzi na JKT Dr. Stergomena Lawrence Tax
Waziri Dr. Stergomena Lawrence Tax Akutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary
Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dr. Stergomena Lawrence Tax (Mb),tarehe 19 Machi,2024, ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji ya Jeshi Kujenga Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa, Chamwino, jijini Dodoma.
Salamu za Rambirambi kutoka kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu, zikitolewa kwa niaba yake na Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dr. Stergomena Lawrence Tax (Mb) Wakati wa Kuaga Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu) katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo jijini Dar es salaam.