Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profileg
Fumbo Khan

@fumbokhanJr

funny tweet// Man United and Simba Sport|| forum of thought|| fumbokhan on Instagram

ID:1190938711967617025

linkhttps://www.instagram.com/invites/contact/?i=e969rh7sjom8&utm_content=la98sr2 calendar_today03-11-2019 10:28:21

118,5K تغريدات

288,1K متابعون

1,1K التالية

Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Kipindi huna pesa hakuna matatizo yanayotokea ila ukipata tuu, ukasema ufanye saving ghafla unaskia Shangazi yako kameza wembe😭🙌🙌

Kipindi huna pesa hakuna matatizo yanayotokea ila ukipata tuu, ukasema ufanye saving ghafla unaskia Shangazi yako kameza wembe😭🙌🙌
account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Yan hapa na GB kama 15 alafu zinaisha kesho naombeni Ushauri niangalie nini😂

Naona kama stoboi iv, zinaweza bebwa.

account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Kila dakika ni fursa, na Hodari Account ni njia ya kipekee ya kufaidika!

Mwambie Swahiba wako ajiunge leo na kupata Lipa No Bure. Hakuna gharama za uendeshaji, tu mafanikio! 🚀💼

account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Kama tukiongea Maswala ya.

Digital management
Fans engagement
Marketing

Simba tumewazidi Mbali sana Yanga, nimuda sasa wa Yanga kuja kupata Somo Kwa Simba.!!

account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Kama Tp Mazembe wametumia mwaka mmoja tuu kuweza kutengeneza team mpaka kufika nusu fainali Champions League.

Kipi kina tukwamisha Simba Sports.!

Kama Tp Mazembe wametumia mwaka mmoja tuu kuweza kutengeneza team mpaka kufika nusu fainali Champions League. Kipi kina tukwamisha Simba Sports.!
account_circle