John Sule
@thisisjohnsule
#MadeForNow Official Twitter account of @thisisjohnsule| Social Media: John Sule |Connect to People, Connect to Opportunities | Thank's Very Much,That's that...
ID: 1318134745579094017
http://www.thisisjohnsule.co.tz 19-10-2020 10:20:08
887 Tweet
1,1K Followers
4,4K Following
Next Up in Our Speaker Line-Up: Maxence M. Melo Meet Maxence M. Melo , Executive Director of Jamii Forums and an influential Tanzanian digital innovator and information architect. Maxence will join #DPAS2024 on the panel “People Empowerment in Data Protection & Privacy: Fostering
If you think of Coinbase like a bank, we now hold about $0.42T in assets for our customers, which would make us 21st largest bank in the US by total assets, and growing. If you think of us more like a brokerage, we'd be the 8th largest brokerage today by AUM. If you think of us
Kila la heri Simba Sports Club 🇹🇿 kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) TotalEnergies CAFCL & CAFCC 🏆 CAF_Online Ligi Kuu
Hongera sana Prof. Mohamed Janabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi WHO African Region. Ni ushindi wa Rais Samia Suluhu na Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba
I am deeply honored and humbled to be elected as the WHO Regional Director for Africa WHO African Region . This is not just a personal milestone, but a collective victory for our continent’s unwavering pursuit of better health for all. I thank the Member States for their trust and
Ninajisikia heshima na furaha kubwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika WHO African Region . Huu si ushindi wangu binafsi tu, bali ni ushindi wa Waafrika wote katika azma yetu ya pamoja ya kufikia lengo la afya kwa wote. Nawashukuru sana nchi
Mheshimiwa Jakaya Kikwete , asante sana kwa maneno yako ya fadhili na kutia moyo. Umeonyesha dhamira ya dhati ya muda mrefu katika masuala ya afya na maendeleo barani Afrika, na umeweka msingi imara ambao tunaendelea kuujengea. Ninashukuru kwa uongozi wako, malezi yako ya kiuongozi,
“I speak for the countless Tanzanians who refuse to be bullied into silence.” Maria Sarungi Tsehai raises awareness about the chilling pattern of abductions and disappearances under the Hassan regime live at the #OsloFreedomForum.
"Tanzania belongs to its people and not to those who terrorize them." Maria Sarungi Tsehai calls for accountability against the Hassan regime, exposing their chilling pattern of abductions amongst those speaking out.