Sami Suluhu (commentary) (@teamsuluhusamia) 's Twitter Profile
Sami Suluhu (commentary)

@teamsuluhusamia

The adherents of Her Excellency Samia Suluhu Hassan, President of The United Republic of Tanzania. RTs ≠ endorsements. #Tanzania

ID: 435064364

calendar_today12-12-2011 16:48:07

31,31K Tweet

24,24K Followers

16,16K Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Katika mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mbunge) mjini Songea, nikianza ziara yangu ya kikazi mkoani Ruvuma leo Jumatatu, Septemba 23, 2024.

Baraza la Kiswahili la Taifa - BAKITA (@bakita_tz) 's Twitter Profile Photo

KILELE CHA TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI LA KITAIFA MKOANI RUVUMA " Tunu moja wapo tunayojivunia ni kuwa na Utamaduni wenye maadili mema" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Baraza la Kiswahili la Taifa - BAKITA (@bakita_tz) 's Twitter Profile Photo

KILELE CHA TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI LA KITAIFA MKOANI RUVUMA " Tunu moja wapo tunayojivunia ni kuwa na Utamaduni wenye maadili mema" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya Kikazi Mkoa wa Ruvuma Baada ya kazi kwenye mradi wa maji Mtyangimbole na ghala la nafaka Luhimba (sehemu ya maghala 28 ya nafaka tunayojenga katika mkoa huu, nilipata wasaa kusalimiana na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Chief Zulu. Nimepokea zawadi yao ya shilingi

Ziara ya Kikazi Mkoa wa Ruvuma

Baada ya kazi kwenye mradi wa maji Mtyangimbole na ghala la nafaka Luhimba (sehemu ya maghala 28 ya nafaka tunayojenga katika mkoa huu, nilipata wasaa kusalimiana na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Chief Zulu. Nimepokea zawadi yao ya shilingi
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Katika ziara yangu ya kikazi mkoani Ruvuma, leo nimetembelea shamba la Kahawa la Aviv, moja ya uwekezaji mkubwa wa ukulima wa kahawa nchini. Nimeagiza kuendelea kuhakikisha teknolojia inayotumika kwa ufanisi kwenye uwekezaji wa aina hii itumike pia katika kuwapa ujuzi wananchi

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Siku nzuri ya kazi na mazungumzo na wananchi Mbinga ambapo pamoja na mambo mengine, kazi inaendelea katika ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay (kuwapa fursa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kufanya biashara ya uhakika kwenye Ziwa Nyasa) na ujenzi wa barabara ya lami ya kilometa 66, Mbinga

Wizara ya Ujenzi (@wizarayauj) 's Twitter Profile Photo

KONA KATIKA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY (KM 66) RUVUMA. Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa

KONA KATIKA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY (KM 66) RUVUMA.

Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa
Wizara ya Ujenzi (@wizarayauj) 's Twitter Profile Photo

rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)

rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
Nyambura Moremi (@nyamburamoremi) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa wakati mzuri kupata fursa ya kuwa miongoni mwa Wanawake Viongozi wa Bara la Afrika waliopatiwa mafunzo ya Usalama na Ulinzi wa vimelea (biosafety and biosecurity) yaliyofanyika Dakar, Senegal. Mafunzo hayo ni muhimu katika kujizatiti kuzuia magonjwa/majanga.

Ulikuwa wakati mzuri kupata fursa ya kuwa miongoni mwa Wanawake Viongozi wa Bara la Afrika waliopatiwa mafunzo ya Usalama na Ulinzi wa vimelea (biosafety and biosecurity) yaliyofanyika Dakar, Senegal. 
Mafunzo hayo ni muhimu katika kujizatiti kuzuia magonjwa/majanga.
Zahoro Muhaji (@zmuhaji) 's Twitter Profile Photo

Seems to be a rebound in funding coming into Tanzania🇹🇿 Startup ecosystem. From January to August, $52million raised compare to $25 million in 2023. Good to see Investors still feel optimistic about this market. Tanzania Startup Association Tanzania Investment Centre

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kazi, salaam na majawabu kwa mahitaji ya wananchi katika kata za Litola, Rwinga na Mchomoro wilayani Namtumbo, nikiendelea na ziara yangu katika Mkoa wa Ruvuma. Kazi ya zahanati mpya 13, maboresho ya Hospitali ya Wilaya, Shilingi Bilioni 17.2 kwenye kuleta uhakika wa maji safi

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana Tunduru. Tuendelee kufanya kazi na kuinuka kiuchumi kupitia fursa zinazoletwa na ujenzi wa miundombinu mipya, uboreshaji wa afya, elimu, kuongezeka kwa ruzuku katika kilimo, masoko, afya, maji, uwekezaji kwenye sekta ya madini na msingi wa amani na utulivu tulio

Ahsanteni sana Tunduru. 

Tuendelee kufanya kazi na kuinuka kiuchumi kupitia fursa zinazoletwa na ujenzi wa miundombinu mipya, uboreshaji wa afya, elimu, kuongezeka kwa ruzuku katika kilimo, masoko, afya, maji, uwekezaji kwenye sekta ya madini na msingi wa amani na utulivu tulio
Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Znz (@omkrhabari) 's Twitter Profile Photo

Mhe.Othman Masoud Othman, Septemba 26 amefika huko Vitongoji Umangani na Kibokoni Kusini Pemba, kutoa Mkono wa Pole kwa Familia za Marehemu Bi Nasra Nassor (aliyekuwa Mwandishi wa Habari na Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar na Marehemu Bi.Fatma Nassor, ambao wamefariki dunia hivi karibuni

Mhe.<a href="/othmasoud/">Othman Masoud Othman</a>, Septemba 26 amefika huko Vitongoji Umangani na Kibokoni Kusini Pemba, kutoa Mkono wa Pole kwa Familia za Marehemu Bi Nasra Nassor (aliyekuwa Mwandishi wa Habari na Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar na Marehemu Bi.Fatma Nassor, ambao wamefariki dunia hivi karibuni